Tunashauri mamlaka zitenge bajeti ya kujenga Misikiti kila Stesheni za SGR kwa ajili ya Swala kwa abiria. Kwa sasa usumbufu ni Mkubwa Sana kufanya ibada ukiwa safarini. Na Ramadhan inakuja
ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER)
KIONGOZI VS MSANII
Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia...
Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh...
Wadau,
Jana nimekutana na infographic moja iliyoandaliwa na The Chanzo inayoshtua na kutia moyo kwa wakati mmoja. Nimeikagua kwa makini, na hapa ndio ukweli mchungu mtamu kuhusu kodi yetu...
Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali...
SINGIDA
Mkoa wa Singida umeanza rasmi kutoa hati Milki za Ardhi kupitia mfumo wa e-Ardhi ambapo sasa wananchi hawatalazimika kufika ofisi za ardhi katika mkoa huo kufuatilia maombi yao ya umiliki...
KUNA HAJA YA KUJUA KASORO YAKO KWANZA KABLA YA KUORODHESHA ZA WENGINE ILI UJUE SHIDA NI WEWE AU WAO?
WATU WENGI HATUWAONI KAMA WALIVYO BALI TUNAONA KAMA TULIVYO SISI ✍️
KILA MTU UNAMUONA MWENYE...
Salaam,
Miaka kadhaa iliyopita hapo mjini Dar niliwha kufanya kaz na kampuni fulani hiv. Ile kaz ilkuwa kioja, kila kikao Masimango, vitisho vya kukaribia kufukuzwa kazi kila baada ya masaa 48...
Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo...
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini?
Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida
Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka...
✈️ 17/9/2026: Air Tanzania yaanza rasmi safari za Dar es Salaam > Musoma > Mwanza > Dar
hatua hii inayoongeza muunganiko wa usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kanda ya Ziwa.
Licha...
Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa TRC
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la utwaaji wa ardhi linaloambatana na uhamishaji wa makaburi katika Kipande cha Sita cha mradi...
Leo jumamosi Sept 19 nasafiri na treni ya sa nane mchana,baada ya kuscan nikaelekea eneo la VIP ila nikakutana na hewa nzito mno na harufu kali.
Nikaenda washroom nikakuta ile harufu kali...
Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea...
Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma...
Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....
Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo...
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo...
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.