mkuu unatupa taabu kwenye kuzungusha simu zetu kumuangalia huyo mtoto mpaka simu zitadondoka sasa
mkuu unatupa taabu kwenye kuzungusha simu zetu kumuangalia huyo mtoto mpaka simu zitadondoka sasa
tupunguzie milio mkuu
tupunguzie milio mkuu
huu uzi sasa utageuka kama ule uzi wetu pendwa wa warembo worldwide, hapatatosha 🔥🔥🔥
Ukosefu wa fikra sahihi ndio kama huu
huu uzi sasa utageuka kama ule uzi wetu pendwa wa warembo worldwide, hapatatosha 🔥🔥🔥
Inategemeana na eneo mkuu!Umasikini unapunguza uwezo wa mtu kufikri na kubahini fursa.
Sahihi Sana,Mtego uko hapo.
Umasikini ni ukosefu wa fikra sahihi.
nakubaliana na wew umasikin mbaya sanUmasikini unapunguza uwezo wa mtu kufikri na kubahini fursa.
“Sahihi, lakini fikra sahihi bila fursa na utekelezaji nazo hazitoshi. Na hiyo picha juu imeongeza umakini wa kusoma uzi 😄.”Mtego uko hapo.
Umasikini ni ukosefu wa fikra sahihi.