nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Unajua tena nilikuwa mamkoa .
Kijiji chote wanajua nzee nimetoka Dar.
Basi nilibadilisha mpaka tembea yangu,
Maisha yalikuwa mazuri kila ntu anataka kuwa karibu na nzee wa Dar.
Huku na kule baada ya kazi jioni tunajumuika kilabuni...tunakunywa pombe za nafaka waweza kuziita za machicha,
Pombe ishakolea kichwani kila ntu nzee karibu....
Meza yetu imejaa chibuku za kutosha.
Kama unavyojua tena pombe inakwenda sambamba na mambo yalee ya kuingiza japo........(utamalizia mwenyewe).
Mara najikuta nipo na kabinti ka elfu mbili...ilikuwaje kuwaje wala sikumbuki chanzo.
Kana kunywa hakoo,,,duuuh....kafupi...keusi tii...halafu tunywele tumesukwa mistari.... lakini haiko smart imefumuka fumuka..... iko kama ilisukwa mwezi uliopita.
Anyway kwa kifupi nikajikuta niko nako chumbani,,,,chumba chenyewe cha udongo chini mkeka... juu nyasi... taa ni chupa ya dawa ya kikohozi tumetia utambi na diesel....
Nikasema nipashe kimoja nilale,,,,,,ile usingizi unanichukua ...nasikia kananiamsha nikasindikize nje kakakojoe...daah nilimaindi lakini ndio hivyo...
Kwa mbali sauti za fisi nazisikia huku na huku nikaona hata...nje hamna kutoka nikampatia sado akamaliza,
kurudi kwenye nkeka kanataka tena...doooh nikaona huu mtihani,,,ikabidi nzee nipande hivyo hivyo shingo upande sikuchukua muda nikamaliza.
Usingizi ukanichukua nikadhani nimelala sana kumbe wapi!! ndio kwanza saa 5 usiku,,,kanataka tena...duuhhh.
Mbali na kunywa pombe za machicha nilikuwa na ka gongo kangu nimeficha humo humo kibandani...nikakata pegi duuh kumbe nako kanatumia nako kaka kata pegi...
Sasa hapa mechi ndio ikaanza upyaaa....Sikumbuki mabao yalikuwa mangapi...asubuhi naenda kuoga maji baridi mtoni naona kama vile upepo unataka kuniangusha,,,,,miguu haina ngufu kapsa kapsa,,,
Nikaenda kwa mama muuza kushtua supu ya kande nikawahi kibaruani.....
Jioni nikapitia tena ubanda...... nimesha lamba lamba mtungi ,,,,,,,daaah nika kaona kwa mbaaali,,,,, kanakuja kwa rahaaa.......tukawa nako...... kana kunywa ........mara watu tumechangamka........ naona kanataka tena!!!!!!