Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA leo Septemba 19, 2026 akitoa maadhimio ya Kamati Kuu ya chama hicho, amesema; “Tume ya Jaji Chande ilikuwa ni batili na kazi zote zilizofanywa...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
44 2 22 2 777 444 0 9999 2 0 555 33 666.
4 Reactions
82 Replies
979 Views
Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI...
0 Reactions
6 Replies
150 Views
Nabii Nuhu (a.s) kama ilivyo kawaida kwa mwenyezi Mungu kutuma mitume kwa waja wake waliokishirisha madhambi. NUHU baba yake aliitwa Lamik ibin Matushalakh. Alianza kazi ya utume akiwa na miaka...
2 Reactions
2 Replies
82 Views
Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina? Biblia inatuambia kuhusu kazi aliyopewa Nuhu, ya kuviingiza katika Safina, viumbe virukavyo, vya kiume na vya kike kwa jinsi...
2 Reactions
11 Replies
204 Views
Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari...
7 Reactions
5 Replies
610 Views
Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani. Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni...
2 Reactions
5 Replies
104 Views
Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
2 Reactions
6 Replies
254 Views
Ukizoea vya kunyonga uwezi vya kuchinja. Hakuna muovu anaweza kunyanyua mikono juu kisha kukubari haki na sheria zitendeke. Ingekuwa mnaweza kupata nafasi hata koridoni na kusikiliza maongezi...
2 Reactions
4 Replies
81 Views
Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi. Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa...
1 Reactions
8 Replies
194 Views
Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama. Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
1 Reactions
2 Replies
71 Views
Jinsi ufalme wa Mungu unavyofanya kazi ni mfano wa ufalme au serikali inayofuata SHERIA zilizo katika katiba katika kutoa hukumu A HAKI kifupi ni kama mfumo wa MAHAKAMA ya haki. Mungu akiwa...
2 Reactions
30 Replies
944 Views
Heshima mbele wanajamii Ningependa kusikiliza nyimbo za Patrick Balisidya so naomba kama kuna mtu anafaham link yeyote au online source napoweza kusikiliza za nyimbo za huyu bwana atuwekee hapa...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza...
4 Reactions
25 Replies
390 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia za watu 12 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha gari la Jeshi la Polisi na lori. Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ya leo Jumatatu...
3 Reactions
13 Replies
463 Views
YUDA (Yehuda) alikuwa mtoto wa nne katika uzao wa nabii Yakub Ndiye baba wa kabila ya (wayahudi) lilipotoka (Judaism) Wayahudi ni wahuni ambao hawamuani Yesu (Issa a.s), wao wanaamini...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche leo alikuwa kwenye mkutano mkubwa akizungumza na wananchi wa Shinyanga Mjini. Katika mkutano huo wanachi wengi walijitokeza na kusikiliza kinachozungumzwa...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Naomba nijibiwe ,nakuelewa sana
0 Reactions
11 Replies
167 Views
Ukifika kanda ya ziwa au sehemu zenye madini ambayo unaweza kupata mpaka USD za mamilioni ni bei rahisi. Ila sehemu za makazi kama nyumba,real state,mijini na sehemu za kimkakati unaweza shangaa...
2 Reactions
3 Replies
77 Views
Back
Top Bottom