StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,749
- 8,093
Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
kuna harusi kama ya katoro?Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
Wote hatupo ulayaNaona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
Si mchezo. Nimezoea kuona Ndege ndio huwa zinapita sana angani hasa asubuhi ila kwa jana choppa zimetia fora!Zimepita kama mara 15. Hasa ile Airbus H225
Sidhani kama ni choppa za harusi zilekuna harusi kama ya katoro?