Nchi za Afrika bila mapinduzi msitegemee democracy mpaka mwisho wa duniani

Nchi za Afrika bila mapinduzi msitegemee democracy mpaka mwisho wa duniani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,829
Reaction score
14,888
Ukizoea vya kunyonga uwezi vya kuchinja.

Hakuna muovu anaweza kunyanyua mikono juu kisha kukubari haki na sheria zitendeke.

Ingekuwa mnaweza kupata nafasi hata koridoni na kusikiliza maongezi yao hawa watawala basi mkitoka hapo mtaweza kukubari utawala wa democracy ambao wanajisifu nao.

Hata ingelikuwa wewe una mabilioni ya pesa,majumba na kila aina dunia alafu vyote kwa mkono wa damu na ukatili vitoke hivi hivi.
 
Ni sahihi kabisa bila kufanya mapinduzi tusahau ukombozi wa tanganyika yetu.tuliwategemea wanajeshi wangesaidia lakini nao washenzi tu.kwa sasa kila mwananchi atafute silaha yake mwenyewe ili tukianza maandamano awamu ya pili tuweze kuikomboa
 
Alisikika nyumbu mmoja akiota baada ya kushiba chipweng'e kwa shemeji yake, yaani mume wa mdogo wake wa mwisho aliyempita miaka 15
 
Back
Top Bottom