Let’s communicate in code.

Let’s communicate in code.

Morse code international language 🤝

Hiyo ndio imetumika kwenye telegraph za kwanza. Kuna kitabu kinaitwa Code: Hidden language for software and hardware ukikisoma utaelewa vizuri history of Morse code, Braille system kwaajili ya vipofu and a lot utajifunza. Utaelewa computer zinavyofanya kazi na namna tunavyoweza kuwasiliana kupitia njia mbalimbali utaanza kujifunza kwa kuanzia na tochi. Namna ya kuongea kupitia Morse code na flashlight n.k
 
Back
Top Bottom