Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

guest-1787677786
Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four. Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa...
43 Reactions
355 Replies
7K Views
Habarini ndugu zangu kwa masikitiko makubwa tuko kwenye uoga mkubwa sana. Eneo letu limekuwa na changamoto ya muda mrefu mvua kidogo tu maji yanajaa kwenye nyumba za watu. Eneo hili lipo Majohe...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Maji wa Hati Fungani Tanga ametakiwa kuhakikisha anafanya kazi kwa saa 24 ili mradi ukamilike. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo hayo...
1 Reactions
0 Replies
54 Views
Hellow guys...... Wakuu anaejua maana ya hii 432hz na maana ya namba 9...... Katika ulimwengu wa roho ina maana gani.... Na hiyo 432hz ina mahusiano gani na mambo ya kiroho..... Cc..... bless on...
1 Reactions
14 Replies
290 Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Sath John Masawa (31), baada ya kubainika kutumia bastola ya kuchezea (toyi) kumtishia...
8 Reactions
– Replies
– Views
Au sio vp bwan Manake huku na kule yabidi kunini... Ingawaje vyema kujua material iliyotumika...... Pia usisahau kuzingatia lishe..... Hapo kale tulikuwa tunanywea nyumbani kwa polisi tena wa...
4 Reactions
7 Replies
99 Views
Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta...
9 Reactions
49 Replies
514 Views
Kwenye hawamu hii wamekuja wakatoriki fake,vijana walioandamana wakulipwa,vijana walioandamana wametoka nje ya nchi. Kitima kupigwa wakati wanakunywa kileo na walevi wenzie,mwaipopo,TOYOTA LC au...
5 Reactions
10 Replies
195 Views
Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa...
3 Reactions
10 Replies
167 Views
Kuanzia sasa, unatakiwa kutembelea mara kwa mara tovuti rasmi ya Idara ya Uhamiaji Tanzania www.immigration.go.tz kufuatilia orodha ya majina ya pasipoti zilizokamilika, ambayo itawekwa kila siku...
3 Reactions
0 Replies
171 Views
UMAKINI MITANDAONI Unapoandika ujumbe wowote mtandaoni, unapoweka picha zako au picha za matukio au mahali ulipotembelea/ unapotembelea na/au unapoishi; hizo ni nyaraka zinazoweza kutumika...
9 Reactions
29 Replies
386 Views
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo. Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe...
7 Reactions
45 Replies
756 Views
saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi 1. Saikolojia Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu. Mfano: mtu...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Moja ya kitu kinachonisumbua ni kuwa mimi ni mraibu wa wanawake. Ni kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati nimejikuta automatically hii hali inanijia hasa...
12 Reactions
145 Replies
2K Views
Turudi nyuma kidogo kabla ya haya. Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine. Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au...
2 Reactions
2 Replies
55 Views
1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati huo ni, sirudi TENA. Anaimba, nakimbiza chapa, ZANGU kila saa, kwenye dhiki, sirudi...
48 Reactions
280 Replies
5K Views
Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza...
1 Reactions
16 Replies
214 Views
Pisi Kali /totosi njooni tupige soga
0 Reactions
17 Replies
156 Views
Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔 Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔 Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka...
28 Reactions
127 Replies
1K Views
Back
Top Bottom