MSAADA: Nyimbo za Patrick Balisidya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: Nyimbo za Patrick Balisidya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwenda_Pole, Jun 1, 2011.

 1. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Heshima mbele wanajamii
  Ningependa kusikiliza nyimbo za Patrick Balisidya so naomba kama kuna mtu anafaham link yeyote
  au online source napoweza kusikiliza za nyimbo za huyu bwana atuwekee hapa. Bila shaka naamini tunaomkubali huyu jamaa tupo wengi. Natanguliza shukrani
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jaribu hii, kuoana ni jambo la sifa.
   

  Attached Files:

 3. jiwe la maji

  jiwe la maji JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2014
  Joined: May 17, 2014
  Messages: 575
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  jamani hii link ya ku download huu wimbo kuoa ni jambo la faida mbona nikidownload inakatika njiani?
   
 4. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2014
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Utakua na mchina wewe.. Mbona haina kwere?
   
 5. NullPointer

  NullPointer JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2014
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 3,484
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 280
  kama mnamkubali kwa nini usinunua album yakeoriginal umpatie hela kwa kazi ngumu anayoifanya ya kukuridhisha wewe?
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2014
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 5,254
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  Alishafariki miaka mingi tu RIP Patrick Balisidya
   
 7. Msingida

  Msingida JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2014
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 3,294
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Kuna wimbo wake unamwongelea "Viki" sijui unaitwaje na ninaupateje,msaada kwa mwenye kuweza kunisaidia.
  RIP Balisidya
   
Loading...