YogaNdio nani huyo
Kila siku akili yangu ina niambia ni yeye.Balozi wa cuba
Mbona mi sijawahi kuona uzi wake au comment yake popote, alikuwa anapenda kuzungumzia nini?Kila siku akili yangu ina niambia ni yeye.
Dear hujawahi kuona uzi wa yoga? Em kuwa serious basi?Mbona mi sijawahi kuona uzi wake au comment yake popote, alikuwa anapenda kuzungumzia nini?
Walahi maa sijawahi, ngoja nifungue profile yake nisome nyuzi zake.Dear hujawahi kuona uzi wa yoga? Em kuwa serious basi?
Mbona uzi wake ulitikisa jukwaa hasa.
Na umetembea huo hatariii. Yaan yeye ni km britanica wa kike, alikua analeta za jikoni kabisa huko jumba jeupe.
Mbona yupo sana mkuu au yoga mwingine?Naomba nijibiwe ,nakuelewa sana
Ana uzi wake huo, unaitwa Dark 2 days.Walahi maa sijawahi, ngoja nifungue profile yake nisome nyuzi zake.
Sijui zilinipitaje navyopenda 😅