Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Huwezi mwelewa DUDU BAYA hadi ndugu yako atakapokuwa shoga.
1 Reactions
– Replies
– Views
Msanii maarufu wa Marekani, William Leonard Roberts II, anayefahamika kwa jina la Rick Ross, ameendelea kuonyesha kuvutiwa na Tanzania akitamani kufanya ziara hivi karibuni. Katika mazungumzo...
2 Reactions
4 Replies
136 Views
Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba...
10 Reactions
956 Replies
79K Views
Kwenu vyombo vya ulinzi na usalama — Polisi, JKT, JWTZ, TISS na vyombo vingine vinavyobeba jukumu la kulinda taifa. Kumekuwa na mijadala na matamko yasiyo rasmi kutoka kwa baadhi ya watumishi wa...
0 Reactions
1 Replies
111 Views
Cc Kiranga
5 Reactions
23 Replies
263 Views
Anonymous
Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili. Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa...
1 Reactions
0 Replies
39 Views
Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!? Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza...
1 Reactions
12 Replies
151 Views
Askari na mahabusu wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari la polisi walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo katika eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Mkuu wa Wilaya...
14 Reactions
150 Replies
3K Views
Hivi kwanini aisee Yaani mtu anatoa bunduki kutishia mtuu ??? Hadharani Nape aliwahi kutishiwa? Anajiamini kwa sababu ana silaha? Mamlaka???
2 Reactions
4 Replies
80 Views
Alafu hao wote wakituliaga anaotokezeable yule Chance ana kuwa active mfululizo kama wiki moja. UCHAWA NI KAZI SANA AISEE
3 Reactions
12 Replies
98 Views
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika...
4 Reactions
27 Replies
406 Views
Katika jamii kama hizi, fedha imepewa thamani kubwa kuliko Familia, Pesa ndiyo inayopima heshima. Pesa ndiyo inayofungua milango. Pesa ndiyo inayokufanya uitwe ndugu.
6 Reactions
30 Replies
490 Views
  • Redirect
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limesikitishwa na matumizi ya nembo yake katika mkutano na Waandishi wa Habari ulioandaliwa na Kampuni ya Sandaland Fashion Wear leo Septemba...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana...
24 Reactions
81 Replies
1K Views
YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi...
8 Reactions
38 Replies
667 Views
Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali...
14 Reactions
26 Replies
325 Views
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete...
5 Reactions
28 Replies
371 Views
Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti...
2 Reactions
2 Replies
85 Views
Majeneza ya Kukodi (Casket Rental).. Haya ni sawa na kusema ni 'used' Kitu pekee kitu pekee sana na chenye faida kubwa lakini hakipatikani kwa urahisi nchini Tanganyika.. Hiki ni kile...
7 Reactions
61 Replies
808 Views
Katika kuishi kwangu na jamii za wamatumbi nimekuja kugundua wamatumbi wengi huwa wanaojifanya sana wako bold! Ni sawa kuwa hivyo katika muktadha wa kutoa kuwa lelemama, ila Kuna time watu...
4 Reactions
9 Replies
155 Views
Back
Top Bottom