Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo na kuhuishwa kwa diplomasia yenye lengo la kupata amani ya kudumu katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Taasisi ya Misitu ya Ulaya (EFI) na kampuni ya sheria ya NexLaw Advocates mapema aeptemba 15 mwaka huu iliandaa warsha ya pili ya wadau. Warsha...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Athari za Kuzaa Mapema kwa Maisha ya Mtoto wa Kike Suala la mimba na uzazi wa mapema miongoni mwa wasichana bado ni changamoto kubwa katika jamii nyingi. Ingawa uzazi ni jambo la kawaida katika...
1 Reactions
3 Replies
94 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Jana nimeona katika vyombo vya habari NSSF wakijinasibu kwa ukwasi mkubwa waliotengeneza. Jambo hilo linaonekana kama hatua ya mafanikio kwa shirika hilo lakini mimi nalifananisha na jambazi...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
  • Redirect
Aisee the most powerful words ambayo mwamba kasema leo
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake. Sasa tukilinganisha na yeye ya Pdid na RKelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata...
2 Reactions
– Replies
– Views
Ujenzi wa Daraja la Jangwani-Dar es Salaam umefikia zaidi ya 53%, ishara ya kasi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Anonymous
Nilijiandikisha NIDA Mwaka 2019 nikiwa nafanya kazi Ifakara, sijapata kitambulisho mpaka leo (Julai 2026), nimefuatilia kila mara naambiwa kipo achived sasa sielewi, mpaka namba yangu ya NIDA...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema nchi 22 za Afrika zimekutana nchini katika Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Tanzania has called for stronger United Nations and international cooperation to address global challenges, including conflicts, climate change, insecurity, and development challenges. The country...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Vijana wa Dar es salaam, mara tu baada ya kuingia chuuo kikuu, mwaka wa kwanza , ananza kuishi na mwanamke kama mume na mke, baada ya miaka 2 wanakuwa mke na mume kisheria(presumption of...
7 Reactions
22 Replies
385 Views
Hii hapa orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika pa Viwango Tanzania (TBS). Orodha hii inataja jina la bidhaa na kiambata chanzo cha kupigwa Marufuku! Pia soma...
2 Reactions
8 Replies
225 Views
Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi. Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary. Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali...
2 Reactions
1 Replies
57 Views
asilimia kubwa ya wakazi wanaoishi pembezoni ya jiji la bongo dar es salaam wanapata mda mchache sana wa kupumzika pindi wanapolejea nyumbani wakiwa wametoka kazini kwasababu uwa wanachelewa sana...
3 Reactions
20 Replies
323 Views
Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. 😔 Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama...
10 Reactions
28 Replies
311 Views
Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka? Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao. Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza...
5 Reactions
7 Replies
311 Views
Waione wafuatao. 1:Single mother/baba 2: Hawakufunga ndoa 3:Wasiotoa michango kwenye kigango/jumuiya. Wale wote Wana familia na hawajawahi kufunga ndoa awe ME au KE na single mother pamoja na...
4 Reactions
109 Replies
1K Views
Back
Top Bottom