Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako. Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na...
4 Reactions
30 Replies
370 Views
Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia...
2 Reactions
2 Replies
109 Views
Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anonymous
Stendi ya Basi Tabora Mjini kwenye geti la kuingilia kuna ushuru unaotozwa getini kuna muda ukienda wanakwambia ni Shilingi 300, kuna muda ukienda pia wanakwambia shilingi 500, bei...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha? Pesa ipo.
2 Reactions
11 Replies
71 Views
Mchawi wa moto Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk. Mchawi wa Kijani Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili...
16 Reactions
86 Replies
4K Views
Huu msemo unatufanya kufanyiwa ujinga mwingi kwa kisingizio cha amani ndio kinatupeleka taifa kubaya. October 29 na yanayoendelea yanataka kuwekewa msemo huu ili kama hakuna lolote lijatokea wala...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
TANZANIA LEO LASEMA... MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA 🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga 🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika 🔹Baada ya hapo, ni ujenzi...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Nasikia hali ni tete. watu wamejifungia ndani .........Mwenye taarifa kamili atufahamishe MREJESHO: Mwanzoni ilikuwa kati ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wakamchoma mwanaume mikuki, kapelekwa...
2 Reactions
2 Replies
103 Views
Siku 80 tu zimebaki kabla ya wachagga kwenda kuhesabiwa huko kilimanjaro . Tabia ya wachagga kurudi kwao kwa gharama yeyote imekuwa kivutio na inasemekana kuna makampuni ya Utali yameanza kupata...
4 Reactions
2 Replies
107 Views
Hii kauli Yako unapotosha umma .ila Kuna crip zako kibao na miamara ya Azania bank ...unachokitafta utakipata
0 Reactions
4 Replies
130 Views
Nilipo usikiliza kwa Mara ya kwanza wimbo wa Bahati Bukuku uitwao Waraka wa Amani nilikuwa sijui sana kuhusu Biblia but nilipo tafakari kwa kina kuhusu story ya Esta, Mordecai, Hamani na mfalme...
17 Reactions
82 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani...
2 Reactions
6 Replies
118 Views
Kati ya Tanga, Mbeya, Kibaha, Morogoro na Songea; mji gani una gharama ndogo za maisha? Haswa mzunguko wa Hela Upatikanaji wa misosi Utulivu Huduma za jamii Kwa anae jitafuta
3 Reactions
140 Replies
5K Views
Kuna jambo nimeambiwa na Babu mmoja mtu mzima, nikabaki nalo kichwani: "Ukipata hata milioni moja, usijisahau mbele ya watu au wenzako." Kweli kabisa. Maisha yanaweza kubadilika leo na kesho...
5 Reactions
6 Replies
134 Views
Ukila na kipofu usimshike mkono, wahenga walisema! Zimebakia dakika chache kumaliza siku hii ya Jumamosi. Kwa wale wenzetu wanao abudu siku hii. Ndio wanamalizia Sabato yao. Kwa wasijua ni kwamba...
4 Reactions
66 Replies
10K Views
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.🙏
4 Reactions
10 Replies
237 Views
Wakuu, Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi? Nawasilisha
6 Reactions
17 Replies
168 Views
Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi...
3 Reactions
15 Replies
261 Views
HABARI MIMI NI KIJANA NIPO DAR NI DEREVA MZOEFU NA WA MUDA MREFU. NATAFUTA KAZI YA UDEREVA WA KAMPUNI AU MTU BINAFSI/FAMILIA PIA KAMA YUPO MWENYE GARI NDOGO/ALPHARD ANAWEZA KUNIPA MKATABA/HESABU...
1 Reactions
2 Replies
71 Views
Back
Top Bottom