Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi...
Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema.
"HILI NALO MKALITIZAME"
Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo!
Lakini ukiwa...
Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha...
Mtume Paulo ndo alio anzisha Utatu kivyake, lakini alicheza namna muhimu katika kueleza na kutekeleza utamaduni uliokuwepo ndani ya dini ya Kikristo mpya na hii iliabiri taarifa mapema ya utatu...
Familia ya kijana Bernardo Masanja, mkazi wa Mtaa wa Tambukareli, Manispaa ya Shinyanga, imetoa wito kwa Jeshi la Polisi kuongeza kasi ya msako na uchunguzi ili kuhakikisha mtuhumiwa wa mauaji ya...
Nikiwa ndani ya mwendo kasi miezi kadhaa iliyopita,abiria mwenzangu anaongea na mtu kwenye simu kuhusiana na watoto ambao wameshindwa kumhudumia mzazi wao apate matibabu
Baada ya kukata simu yule...
WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza...
Mpja kwa moja kwenye mada
Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha...
Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake.
Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho...
Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa "misplaced priorities" umekuwa tatizo sugu miongoni mwa Watanzania. Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa vipaumbele vya jamii yetu vimepotoka, mara...
Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa.
Kumbe...
Wee binti kwani ukiitwa Kwa jina lako kidawa au chausiku au sikuzani
Kwani Kuna shida Gani?
Asee mnazingua dada unakuta anajiita Jina zuri lakini Halina uhalisia na Sura Yake.
Leo nimeomba...
Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni.
Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo...
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa...
Nimesoma sana kuhusu hii dawa SHILAJIT. Hasa ile ya kutoka Himalaya lakini sijui kama inapatikana Hapa Dar.
Tafadhali mwenye ufafanuzi anielekeze fika gani inapatikana.
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu.
Kesi hizo...
Zab 143:7 SUV
[7] Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.
Tunafahamu kuna wagonjwa wa dharura, wagonjwa ambao huwa hawapangi foleni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.