Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kwa huu Ukanda wa Afrika Mashariki kwa tathmini iliyopo, Tanzania ndio inaongoza kwa kudhibiti wa Dawa za kulevya na ndio inaongoza kwa kukamata Dawa nyingi kuliko mataifa mengine, na hata Mataifa...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Nothing funny here, he needs immediate medical attention https://www.facebook.com/share/v/1DmE4HbptF/
2 Reactions
6 Replies
355 Views
📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
364 Views
Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro...
3 Reactions
18 Replies
774 Views
Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Hapa Majuzi Mbunge Musukuma alisema Bungeni kuwa wenza wa Wabunge wawe wanaruhusiwa kukaa VIP kama wenza wao. Nimependa hoja ya Mzee wa Kaliua (Oscar oscar) kwamba kila anayetaka ViP basi...
1 Reactions
1 Replies
458 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba...
3 Reactions
6 Replies
477 Views
Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna...
1 Reactions
8 Replies
505 Views
Sasa nisikilize! Leo nitawaambia mambo kadhaa ambayo naamini yanaweza kukufanya ufahamu ni kwa namna gani kuna watu wanatake risk kwenye mabiashara yao makubwa, wewe si unaogopa! Basi poa. Kwenye...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
UJANGILI uliokuwa unafanywa na baadhi ya wenyeji wanaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara umedhibitiwa kisayansi kupitia miradi ya kijamii na kiuchumi inayotekelezwa na hifadhi...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
SERENGETI JAMII hasa vijana wanaoishi maeneo yanayozunguka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara wameanza kupewa mafunzo ya namna ya kuwakrimu na kuwahudumia wageni watakaowekeza na...
1 Reactions
6 Replies
428 Views
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo? NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu...
14 Reactions
48 Replies
2K Views
Ndio. Kuna speech moja amesikika akisema "Wewe kula chako kaa kimya",naam tena alikuwa akiongea Katika majukumu yake kama mkuu wa nchi aliyeapa kuilinda na kutetea katiba ambayo inapinga dhulma...
4 Reactions
16 Replies
687 Views
waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo (wa tatu kushoto) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Julius Mnganga (wa pili kulia) wakiwa na mfano wa cheki ya shilingi milioni 735...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Wakuu, Tukiangalia viongozi wetu wengi walioshika dola kwa sasa hawaongelei suala la hali mbaya ya umaskini nchini, Rais Samia amekua akifanaya ziara ya kuzindua miradi maeneo mbalimbali nchini...
0 Reactions
3 Replies
325 Views
Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo. Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi...
1 Reactions
7 Replies
596 Views
Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran...
0 Reactions
4 Replies
444 Views
Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili...
2 Reactions
2 Replies
676 Views
Back
Top Bottom