Tumsifu Yesu Kristu
Mkatoliki mwenzangu kanisa linaongozwa na utii
Kesho Misa ya Asubuhi...tolea ombi hili tuu...Mungu Aliangazie taifa letu Haki na Amani
Azichome roho na mioyo ya wote wanao...
NUMEROLOGY - ELIMU YA SIRI YA NAMBA.
NAMBA ZA DENI LA KARMA.
DECODING THE MYSTERY OF KARMIC DEBT NUMBERS:
KUFUNGUA NA KUSIMBUA SIRI KUHUSIANA NA NAMBA ZA MADENI YA KARMA:
JE, KILA MTU ANA...
Kutokea kijiji cha lungongole ifakara mkoan morogoro kuna hii barabara inatokea kilosa road kwenda mpaka kwenye kijiji cha kilama inaitwa mwiche road barabara hii inatumika pia na wakulima...
“Ndoto zako hazistahili gari mbovu.”
Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali...
Kwa haya machache unaweza kufuatilia nyuzi za nyuma ukaona utabiri wa baadhi yetu hasa kiroho kwamba mwaka huu tutakuwa kimya kama tupo Kandahar huko Afghanistan japo tupo bongo tumeamua kufanya...
Kampuni ya Nothing phone imetoa taarifa rasmi kuwa simu aina Nothing phone 3 itaweza kupokea support ya muda mrefu ya Android support kwa muda wa miaka Saba bila shida yoyote.
Mwanzilishi...
Wim 1:5-6 SUV
[5] Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani. [6] Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu...
Inawezekana mwaka 2025 ikawekwa kwenye historia ya kuibuka kwa vita ya pili ya Dunia baada ya miaka 84 kupitia ilitokea mwaka 1941.
Kalenda ya mwaka 1941 na mwaka 2025 zinaenda kabisa kuendana na...
Kukulia Vijijini kuna Faida zake Nyingi sana.
Nilianza shule mjini Arusha Kaloleni shule ya msingi kwa Sasa hivi nasikia ni shule ya sekondari.Nilisoma pale hadi Darasa la Tatu(3),Nikiwa na...
Shetani amewatekaje watu?
1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake...
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Ujumbe huu uwaendee vijana watafutaji na wawekezaji hasa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ARIDHI.
Ingia google andika Tausi portal ingia kwenye menu.Angalia sehemu imeandikwa LAND SALES🤝
Ukiingia...
Au watu wazima wenye akili za kitoto ( The gullible ones).
Story za dini hizi za wazungu na waarabu ni utoto utoto tu.
Ni ajabu sana kuona mtu mzima bado ana amini kwa dhati kuhusu mambo ya...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei...
Ieleweke hivyo.
Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka.
Mifano ni...
Kwa heshima na taadhima napenda kuungana na watumishi wote wa umma Tanzania bara (Tanganyika ya zamani).
Kupitia ujumbe wa mtumishi aiyesema amepanda madaraja mawili mpaka Sasa tangu awamu ya 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.