Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aly Senga Gugu, amezindua rasmi kituo kipya na cha kisasa cha polisi cha daraja B Wilaya ya Namtumbo, kilichojengwa kwa gharama ya shilingi milioni...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana...
0 Reactions
11 Replies
549 Views
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood. Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji... Sefania 3:17 BWANA, Mungu wako, yuko...
2 Reactions
72 Replies
2K Views
Ni rahisi sana kugain Upper ABS ila sio lower ABS na OBLIQUES hivi hii ni kwangu mimi tu au hata nyie mnapata matokeo sawa na mimi?
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Hivi wakuu Mungu ametuumba sie wanadamu tuje kufanya kazi? Na kuwa matajiri? Na kwanini wengine ni matajiri na wengine ni masikini? Na je kuna watu special wameumba kuwa matajiri na kuna watu...
0 Reactions
4 Replies
353 Views
"Jeshi la polisi lilishatoa maelezo kuhusu gari ipi inayostahili kuwekewa ving'ora na hata wakati mwingine na Mimi nasikia king'ora kimepita na hujui cha kitu gani kwa sababu gari ina namba...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Kissa Kasongwa, ameagiza mkandarasi wa mradi wa maji wa Ipelele kufika ofisini kwake haraka ili kutoa maelezo ya kina juu ya kusuasua kwa utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Kama ulikua hujui kuwa wanaume KUPIGANIA mwanamke huo ni USHAMBA wacha nikufahamishe;- Wanaume wengi huishia pabaya kisa wanawake, Na hasa wale wanaume ambao humpenda demu, Kiasi...
1 Reactions
1 Replies
424 Views
Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
1 Reactions
17 Replies
971 Views
Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika...
0 Reactions
12 Replies
596 Views
Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni. Lakini siku za hivi karibuni Viola...
1 Reactions
9 Replies
905 Views
Wakuu salama, Nauliza kwa mtu ambaye anataka kuwa Academician na hajafika GPA ya 3.8 kuna procedure zozote anaweza kuzifanya awe academician? kwa Maana ya Tutorial Assistant katika vyuo vikuu...
0 Reactions
5 Replies
612 Views
Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering...
3 Reactions
10 Replies
507 Views
Kama mada inavosema hapo juu, kumekuwa na kasumba mbaya sana kwa shule binafsi na hata za serikali kusambaza namba za simu za wazazi ama walezi wa watoto na majina yao hususani kwa wale...
1 Reactions
1 Replies
187 Views
Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani. Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi...
41 Reactions
424 Replies
11K Views
Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema. "HILI NALO MKALITIZAME" Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo! Lakini ukiwa...
8 Reactions
17 Replies
929 Views
Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha...
2 Reactions
45 Replies
1K Views
Mtume Paulo ndo alio anzisha Utatu kivyake, lakini alicheza namna muhimu katika kueleza na kutekeleza utamaduni uliokuwepo ndani ya dini ya Kikristo mpya na hii iliabiri taarifa mapema ya utatu...
1 Reactions
51 Replies
1K Views
Back
Top Bottom