Maana ya Uhuru, huisha baada ya utambuzi,
Baada ya kutambua kuwa uhuru si maamuzi,
Maana kifungo na mipaka vinafanana,
Aliyekuambia kuna uhuru, Utaupata Kakudanganya.
Kuna asili inayofanya,Mwili...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kuhusu masuala ya imani, hasa imani ya kidini inayohusiana na uwepo wa Mungu. Baada ya fikra za kina, kusoma, na kuchunguza maisha halisi, nimejikuta siamini...
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda...
Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya...
🕯️ CHANZO NA ASILI YA JAMII YA ILLUMINATI
Sehemu ya kwanza
(Na AMUN The Grand Master Of The Third Eye Enlighten Society)
⚖️ Mwanzo Rasmi – Bavarian Illuminati (1776)
Ilianzishwa na...
Wafanyakazi 11 wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali, yakiwemo ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya...
SERIKALI YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA MITUNGI 225 KWA WATUMISHI GEREZA KUU MAWENI
📌Shilingi bilioni 35 kupeleka nishati safi magereza yote nchini
📌Mitungi ya gesi 653 kupatiwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura amesema wanaume nchini wana haki ya kulindwa, kusikilizwa na kupewa heshima ambapo wametakiwa kutumia ofisi za Dawati la Jinsia kuripoti...
Kama mnakumbuka 2016 mheshimiwa Tundu Lissu Rais wa awamu YA 7 alianzisha hili neno uchwara Kwa kumuita dikteta uchwara.
Na sasa hivi askofu wa kanisa la uzima na ufufuo ndugu Josephat Gwajima...
Miaka 2000 baada ya Yesu Kristo, bado Wakristo hawajakubaliana juu ya nini au nani mwanamke (au wanawake) walimwona kaburini siku ile ya Jumapili.
Je, alikuwa malaika mmoja (Mathayo 28:2)...
Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana...
Wakuu,
Sina la kusema juu ya boti ya uokozi iliyotokea bandari ya mtwara kwenda lake victoria na kutumika kama boti ya uokoaji pindi meli au ajari itokeapo katika ziwa hilo
Kila eneo wananchi...
Watu wengi wanajua Samsung na iphone ndo zilikua simu za mwanzo kutengeneza ukiachana na Htc lakini ukweli ni kwamba Mojawapo ya waanzilishi wa mwanzoni wa simu za kisasa smartphone ni TECNO...
Swali lako ni muhimu sana — linagusa kiini cha imani, mazoea ya kiroho, na mafanikio ya kimwili. Jibu linaweza kutegemea mtazamo wa mtu binafsi, lakini hapa kuna maelezo ya pande zote mbili...
Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya...
Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri.
al jazeera ipo nchini qatar.
Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran.
Inaeneza habari...
Tuliongopewa sana na wayahudi kutoka Msomela, Kazulamimba, mto wa mbu kwa taifa teule haliwezi kupigwa. Naona mambo yamekuja muda muafaka ambao kila mmoja wetu alijaliwa uhai amejionea mwanaume...
🔰ILANI YA CCM NDIO MKOMBOZI WA KILIMO TANZANIA
Utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Sura ya pili ibara ya 2.1.3.1 kwenye eneo la Kilimo cha umwagiliaji, Eneo la umwagiliaji limeongezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.