Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,959
- 8,145
Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa.
Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?
Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?