Kwanini ninyi waschana wa kileo mnazingua?

Kwanini ninyi waschana wa kileo mnazingua?

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,664
Reaction score
7,258
Wee binti kwani ukiitwa Kwa jina lako kidawa au chausiku au sikuzani
Kwani Kuna shida Gani?

Asee mnazingua dada unakuta anajiita Jina zuri lakini Halina uhalisia na Sura Yake.

Leo nimeomba namba Kwa binti mzuri Tu namuuliza nisev Nani eti Seva Nai.

Kuja kuchek Jina la MixbyYass ebana eee anaitwa Neema.
 
Mambo ya kike waachie wanawake, halafu pia ni vitu vya kawaida
Mohammed - Mo
Kelvin - Kevoo
 
Mambo ya kike waachie wanawake, halafu pia ni vitu vya kawaida
Mohammed - Mo
Kelvin - Kevoo
Nomadix
Noma au sio.

Acha miyeusho wee Mzee.
Acha mvi zikue hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom