No Comment! - Mlalahoi ataendelea kuwa hoi na sera mbovu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No Comment! - Mlalahoi ataendelea kuwa hoi na sera mbovu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Mar 10, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nimeone hizi picha kwenye Blog ya Dada Chemi Swahili Time: Wadi ya Uzazi Hospitali ya Temeke Jionee mwenyewe, Je hizi ni athari za ufisadi au sera mbovu za afya au yote mawili. Inasikitisha kuona wazazi wakiwa wamepangwa kama mafungu ya nyaya sokoni Tandika.

  Shadow.
   
Loading...