KUANZISHWA MIFUKO YA ELIMU ZA WILAYA NA MIKOA-Inawezekanaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUANZISHWA MIFUKO YA ELIMU ZA WILAYA NA MIKOA-Inawezekanaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Mar 10, 2009.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wakubwa naombeni msaada.
  Nimekuwa nasikia harambee ktk mikoa mbalimbali za kuchangia mifuko ya Elimu za Mikoa au Wilaya hizo.Je ni nani kiongozi wa mifuko hiyo na mwanzo wake unaanza vipi.
  Je inawezekana mtu binafsi kuanzisha mifuko hii kwa jamii ndogo kuanzia ngazi ya familia? Kama jibu ni ndio ina kuaje?
  NAAMINI KATIKA MICHANGO YENU YA MAWAZO NA KATIKA HILI KWA PAMOJA MNAWEZA KUNISAIDI.
  Ahsanteni sana kwa mchango wenu wa mawazo
   
Loading...