Kampuni Za Mikopo Vipi

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Kuna institution moja inaitwa deci, nayo imeshamili na imeota mizizi kwani wanamatawi sehemu kadhaa wa kadhaa hapa dar kama Mabibo mwisho, Tegeta, Kigamboni na Mwananyamala n.k , Hii ni tasisi yakutoa mikopo kwa maana yakuwekeza( wanaita kupanda) alafu baada ya muda unapewa pesa katika mafungu( baada ya kila wiki 16 ila unachukua baada ya wiki 17) ambayo inakuwa ni faida. Mfano: unaweza kuweka tsh. 200,000/= baada ya miezi unapokea tsh 500,00/= ila siku utapochukua hiyo pesa unakatwa 15% kwa ajili ya kuendesha taasisi hiyo. Ila itakua kila baada ya miezi 4 unaenda unachukua hiyo pesa na kuendelea vivyo hivyo.

Kuna instuition nyingine inaitwa Tumaini inapatikana pale karibu na Tabata. Hii sio maarufu sana kwani ni zao la hiyo ya kwanza hapo juu. Hii nasikia inavyofanyakazi ni hivi, Mfano unaweka tsh 1,000,000/= na ada yake ni 10% ya mtaji wako yaani ni tsh 100,000/=( kama kiingilio cha kuwezesha kuanza kuweka). Alafu baada ya miezi 3 unapokea tsh 1,700,4250/= kama sijakosea na baada ya miezi 3 tena itapungua kile unachochukua kwa 20% kutoka kile ulichochukua mara ya kwanza. Mara ya 3 pia utachukua pungufu ya 20% ya kile cha mara ya 2 ulichochukua na tatu.

Nna maswali ambayo yananitatiza katika akili yaangu:

MOSI, Hivi hii kitu ina assuarence yoyote mfano hawa jamaa wakikimbia mtu unaweza ukarudishiwa pesa zako au ndio yale mambo ya G-tv? Watu wanalipa alafu wanashindwa kudeliver.
PILI, je serikali inajua kuhusu hii taasisi, kuwepo na kujihusisha kwake kwenye hizi shughuli kisheria au inafanya mambo ya kienyeji tu?
TATU, Je wanabuckup benk kuu kwa maana ya kufanya compasation wakati wowote ikitokea wamekimbia nchini na pesa za watu maana miezi 3 au wiki 16- 17 ni siku tele?

Naomba nirushie mkuu tucheck upeo wa watu na ufahamu wao. Na kama kutakua na watu wa bank kuu nadhani watatoa jibu zuri kuhusu hiki kitu. Lakini inaonekana ina walakini unless wanajuana na seriakali kwa maana yakufuata taratibu zote za usajiri na kuweka buckup yao bank kuu incase wakishindwa au kufilisika ghafla.
 
Kampuni ambazo nina uhakika nazo zinatoa mikopo kama una vigezo sahihi ni Banks, hivi vitu vingine nafikiri tunakuwa na haraka ya kupata hela hatupati muda wa kuhoji kwa nini inakuwa hivyo. mimi nafikiri nitaendelea kukopa kwenye mabenki siyo taasisi za kitapeli.
 
Kampuni ambazo nina uhakika nazo zinatoa mikopo kama una vigezo sahihi ni Banks, hivi vitu vingine nafikiri tunakuwa na haraka ya kupata hela hatupati muda wa kuhoji kwa nini inakuwa hivyo. mimi nafikiri nitaendelea kukopa kwenye mabenki siyo taasisi za kitapeli.



UNA HERI WEWE!maanake watanzania weengi tuna haraka sana na utajiri.Mi nasema hivii,TUNAOMBA MABENKI YAPUNGUZE RIBA.nafahamu ni biashara,lakini hizo riba jamani kwa wananchi wengi wa dunia ya tatu NI BALAA TUPU.ndo maana wengi wanaingia mkenge na hizo DECI
 
Unajua watanzania wengi hawana ufahamu kuhusu finance. kwa hiyo wakiambiwa kopa laki mbili leo na baada ya miezi miwilia rudisha laki tatu wanaona ni sawa tu kumbe tayari riba aliyopigwa ni kubwa sana.
 
Mimi sina uelewa sana lakini , mwaka jana mama yangu alipanda shilingi laki mbili kwenye taasisi moja huko mkoani, mwezi huu wa tatu akavuna laki tano, ukitoa ile 2 aliyopanda ina maana amepata faida laki tatu na makato yao ni kama asilimia 2 hivizipo lakini sio za uhakika. Lakini nimemwambia asirudie tena atakuja kulia siku moja maana hazijasajiliwa
 
Back
Top Bottom