Vipindi vya TV vya mahojiano hapa bongo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipindi vya TV vya mahojiano hapa bongo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpogoro, Aug 12, 2009.

 1. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nafuatilia vipindi vya mahojiano vya TV hapa Tanzania lakini naona katika kipindi ambacho ni cha hali ya chini kabisa ni cha huyu mwandishi wa habari mwandamizi ambaye amekuwa kwenye game kwa miaka mingi Ndg Makwaia wa Kuhenga.

  Ukijaribu kuangalia vipindi kama Hamza Kassongo Hour ,Ch10 on Monday,Pambanua,Kipima Joto na kadhalika ambayo vyote huwa vinahoji wageni mbalimbali utaona kuwa kwanza kipindi cha jamaa kina-rekodiwa kwa hali ya chini sana...sauti juu mara chini yaani hutegemei hayo kutokea kwa mtu ambaye amekuwa kwenye mambo ya habari kwa miaka mingi.

  Suala lingine ni kipindi chake kiko so subjective yaani kwa kawaida opinion ya wageni anaowaita inakuwa inclined kwenye direction ambayo yeye anapenda na huwa nastaajabu ni kwa namna gani huwa anaandaa vipindi vyake.

  Kwa namna fulani unaweza kusema ni kipindi ambacho kilizaliwa wakati fulani ambapo kuwa na TV show kama ya namna ile ilikuwa deal au tuseme fashion.

  Nafikiri kama anapata nafasi ya kusoma maoni yangu anahitaji kubadilika na kuwa na mwelekeo fulani ambao utafanya kipindi chake kipendwe zaidi.Sidhani kama amejaribu kufanya utafiti kuona kama kweli kina-attract watu kivile.

  Huu ni mtazamo wangu na nafikiri kuna haja ya yeye kubadilika na kujaribu kuja na kitu kizuri zaidi.Najua hii itamfikia tu...
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Kila kipindi na mtayarishaji kipindi havikosi washabiki wake. Usione ajabu kuna watazamaji wengi tu wa luninga ambao wanam-mind Makawaia wa Kuhenga ndiyo maana bado anadunda miaka yote hii.
   
Loading...