Hii ni kamari mpya au bahati na sibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kamari mpya au bahati na sibu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Aug 11, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mara nyingi nimeona na kusikia mara tuma neno kwenda no.153.., au 157.., au 158.. n.k. utajishindia hiki mara kile. huu utaratibu unafanyaje kazi? mbona asasi nyingi zimeuchangamkia huu mfumo ghafla sana?
   
Loading...