Synovate Tanzania...Ni nani hawa na wanafanya nini ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Synovate Tanzania...Ni nani hawa na wanafanya nini ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mag3, Aug 11, 2009.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Je, kuna mwenye data zozote kuhusu hawa Synovate ?

  Contact:
  Aggrey Oriwo - Country Manager

  Regent Estate, Mikocheni Street,
  Plot 161 P.O. Box 106253,
  Dar-Es Salaam. Tanzania
  Tel: +255 22 2775851/2037.
  Fax: +255 22 2701606

  email: aggrey@steadman-group.co.tz
   
 2. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Hawa watakua waKenya tu.
   
 3. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
 4. l

  lovulovu Member

  #4
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hawa ni watoto wa kampuni moja ya kufanya utafiti kutoka kenya yenye ofisi yake jijini ambayo hapo nyuma ilikuwa ikitafiti mambo ya habari. mara ya mwisho ilifanya utafiti kuhusu usikivu wa redio hapa nchini na kutoa orodha ndefu kuonyesha ni chombo kipi cha habari kilikuwa kinapendwa sana nchini na chenye watazamaji au wasikilizaji wengi.

  nadhani jina la kampuni hii lilikuwa steadiman, stedman, steadyman au readman sina uhakika. kilichobadilika hapa ni jina lakini watu ni wale wale na malengo ni yale yale.

  muhimu cha kuelewa ni kwamba jamaa hawa hufanya tafiti ambazo lengo lake ni kushinikiza matakwa ya Kenya au makampuni ya Kenya vikiwemo shirikisho, customs union, common market na kadhalika. wewe angalia aina ya maswali wanayouliza, ni dhahiri huwa wanahitaji majibu ya aina fulani.
  lovulovu
   
 5. b

  bnhai JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Sasa katika research hiyo, na design yake, sample yake inayohusika ulitaka maswali yawaje? Open ended?au ni aje? lets be realistic hebu shuka na mfano wa swali. Mie sijaona kama ni leading questions
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Synovate ni kampuni ya kimataifa inayohusika na utafiti na utafutaji wa kura za maoni kuhusu masuala mbalimbali katika jamii (opinion polls). Hii kampuni ipo nchi nyingi za Ulaya.
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nchi imekwisha wakenya wafanye utafiti wa kujua kiongozi yupi yuko popular kweli Tanzania shamba la bibi
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Nimepita katika website yao http://www.synovate.com/about/ . Hii ni international company ya masuala ya research and marketing of products and services. Kama Country Manager ni mkenya is ok to them lakini si kampuni ya Kenya. Wesite itakupa nchi zote ambazo wana operate just click on the respective maps to get the continetal offices (countrywise). Thanks.
   
Loading...