Blog ya majjid mjengwa imeshutumiwa vikali baada ya kuweka habari ya mkapa akiwa kijijini kwake mtwara.
Habari kamili inaweza kwenda huko.
Blog ya majjid mjengwa imeshutumiwa vikali baada ya kuweka habari ya mkapa akiwa kijijini kwake mtwara.
Habari kamili mnaweza kwenda huko.
mjengwa.blogspot,com
Ngudu zangu wakati mwingine tunahitaji utani, tucheke na kutafakari. Kisa hiki ni cha kubuni.
......Mzee wetu(Mkapa) alikuwa na staili yake y kujibu na kutojibu maswali...
Kanda2.
Waosha vinywa wengi hawapendi kusoma vizuri, tahadhali ilishawekwa kuwa ni kisa cha kubuni, hivyo sioni sababu ya kumshitumu huyo Mjengwa.
Kwa mfano ingekuwa ni hapa JF, bandiko hilo lingekuwa kule Jokes/utani
Kwa mapana na marefu ya utani huu cheki hapa