Wana JF, Heshima Mbele !! Nafikiri tuna la kujifunza kutoka kwa wenzetu ambapo sisi tunakanyaga pale wao walipopita.
DUBLIN, Republic of Ireland (AP) -- Irish Prime Minister Bertie...
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba mkuu wa mkoa wa Mara kachanga 20m kwenye harambee ya Ccm kukusanya fedha kwa ajili jengo la CCM mkoa wa mara. Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo...
CUF yailaani CCM
na Asha Bani na George Maziku
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kushtushwa, kusikitishwa na kukatishwa tamaa na tamko la Halmashauri Kuu ya...
Ndugu wana JF,nimesoma habari hii kutoka gazeti la Mtanzania na kuhisi kua hela zimeniishia mfukoni gafla. Najiuliza hivi uzembe serekalini utaisha lini? Bomoa bomoa hii ilikiuka mambo mengi ya...
Watanzania wenzangu,napendekeza tuachane na kuadhimisha sikukuu ya wajinga.
Mjinga ni mtu asiyejua kusoma au kuandika au vyote viwili.Namna nzuri ya kuadhimisha siku yake basi ingekuwa ni...
Wana JF, nimeona niweke hii habari hapa nikijiuliza kuwa, Je viongozi wetu wapo tayari kujiuzulu kwa shutuma kama hizi?
MEP Alexander Stubb to replace Ilkka Kanerva as Foreign Minister...
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03
MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa...
Maximo ajiuzulu kufundisha Stars
2008-04-01 09:27:45
By Mwandishi Wetu
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbrazil Marcio Maximo amejiuzulu kufundisha timu...
Huu ni utapeli wa hali ya juu. Wameshindwa kuthibitisha pesa zimekusanywa toka kwa kina nani na kiasi gani na wamezikusanya kwa njia ipi kama ni cash, cheque, money order n.k. zimewekwa kwenye...
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe...
Dongo hili anapigwa Kikwete? Lakini kuna umuhimu wa kufahamishwa tangu aanza uVDG wake ameshaleta "wachukuaji" wangapi? wenyewe huwaita wawekezaji
Serikali itathmini safari za viongozi - Kigoda...
THE AUDACITY OF FREEDOM AND THE TENACITY OF DEMOCRACY
Utangulizi:
Waheshimiwa,
Nimetumia muda kusoma kila post na kutoa shukrani kwa michango yenu yote na pia kupata muda wa kuachilia yote...
Makala Hii toka Raia Mwema ni ndefu lakini ni changamoto kwa JF, naomba muisome wadau....Kila mtu akitimiza wajibu wake tutafika.
Muungano Mtakatifu: wabunge, wapiga-filimbi, waandishi Na...
KUMBUKUMBU ZA MKUTANO WA WAZANZIBARI HUKO LONDON UTANGULIZI:Mkutano wa Wazanzibari wanaoishi nchi za Ulaya ulifanyika tarehe 22 March, 2008 katika jiji la London kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa...
Hey guys mimi naona si vizuri kumtumia Nyerere kisiasa. Ni vizuri kumuongelea kwa mazuri lakini kwenda kwenye kaburi lake na kutumia kijiji chake kuweka mipango ya kuwadanganya watanzania kuhusu...
Kama baadhi ya wajumbe wanataka mafisadi ndani ya CCM wafukuzwe, kitu ambacho kitaungwa mkono na Watanzania wengi, JK kama mwenyekiti wa CCM anangoja nini!? :confused:
Heat at Butiama conclave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.