RC MARA kuchangia CCM 20m siyo sahihi

nat867

Member
Feb 14, 2008
97
5
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba mkuu wa mkoa wa Mara kachanga 20m kwenye harambee ya Ccm kukusanya fedha kwa ajili jengo la CCM mkoa wa mara. Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo hajazitoa mfukoni mwake bali bajeti aliyotengewa na Tamisemi/wizara ya fedha kwa ajili ya kutekeleza mipango ya maendeleo ya wananchi. Ni vema akaeleza katoa fedha hizo kasma ipi? Na je atatoa fedha endapo chadema,TLP, CUF, NCCR n.k wakitaka kujenga ofisi zao za chama.Asipozitoa itakuwa ni ubaguzi wa kisiasa na nitaandika tena kumtaka azirejeshe 20m kwani zingeweza kujenga madarasa 3 ya secondary za kata au nyumba 3 za walimu au wafanyakazi wa vituo vya afya maeneo ya vijijini. Ikumbukwe hii ni fedha za walipa kodi watanzania.
Suala hili ni vema tukalikemea la sivyo litaota mizizi.Ukienda kwenye halmashauri za wilaya ndo utashangaa mwezi januari/februari nilikuwa tabora.Nilipata taarifa toka kwa watendaji wa wilaya kuwa magari ya CCM yanapata petrol/diesel toka depot na fungu la bajeti la wilaya, na hawalipii mafuta hayo matokeo yake fedha ya bajeti iliyotengwa inaisha mapema na kuwalazimisha maafisa kupunguza kazi za kwenda kusimamia masuala mbalimbali katika kata na vijiji. Je kweli hii ni haki ccm inayopata ruzuku kubwa toka serikali kupata mafuta ya bure toka serikali ya wilaya.Mbona vya upinzani havipewi mafuta hayo.Mbaya zaidi magari ya serikali yanafanya kazi za kichama CCM.
Ni vema tulione suala hili kama ufisadi/wizi na tulipigie kelele ili mkuu wa mkoa mwingine asichote 20m kupeleka kujenga jengo au shughuli ya ccm.Tulikemee ili mafuta wanayopata ccm bure wilayani yatumike kujaza mafuta magari ya ambulance ili yabebe wagonjwa hasa kina mama wajawazito na watoto wadogo wanaokufa kila kukicha kwa kukosa huduma muhimu za afya kwa sababu wapo mbali na zahanati na hospitali.
Mungu ibariki Tz ili tukate mizizi na mirija ya ufisisadi katika ngazi zote za utawala.
Nawasilisha kwa mjadala
 
Mkuu wa mkoa hebu tueleze hizo milioni 20 umezitoa wapi?Kwa mafungu ya RC's anayopewa kutoka serikalini na kutoa milioni 20 sio mchezo,hawa watu kifedha hawamsogelei mkurugenzi wa manispaa sasa huyu RC amezitoa wapi,mimi nadhani achunguzwe sio kawaida kwa RC kutoa hicho kiwango.Huyu RC anaweza kua miongoni mwa mafisadi.

Unajua alichokifanya huyo RC ni unafiki kwa Rais ili amuone anafaa na nafikiri hana sifa za kupewa U-RC aliupa kimiujiza hivyo anachofanya ni kujikombeleza kwa JK kwa kukiunga chama.Hili kacheza faulo mtu wangu.

Lakini RC yuko upande wa serikali kuu,hivi hapa hajachemsha?
 
Mk
uu wa mkoa hebu tueleze hizo milioni 20 umezitoa wapi?Kwa mafungu ya RC's anayopewa kutoka serikalini na kutoa milioni 20 sio mchezo,hawa watu kifedha hawamsogelei mkurugenzi wa manispaa sasa huyu RC amezitoa wapi,mimi nadhani achunguzwe sio kawaida kwa RC kutoa hicho kiwango.Huyu RC anaweza kua miongoni mwa mafisadi.

Unajua alichokifanya huyo RC ni unafiki kwa Rais ili amuone anafaa na nafikiri hana sifa za kupewa U-RC aliupa kimiujiza hivyo anachofanya ni kujikombeleza kwa JK kwa kukiunga chama.Hili kacheza faulo mtu wangu.

Lakini RC yuko upande wa serikali kuu,hivi hapa hajachemsha?

Wanajisahau kichizi,

Waswahili walisema ukila na kipofu usimshike mkono lakini hii mipuuzi na obnoxious arrogance yao inawafanya hata Watanzania docile washtuke.

Sadly nothing will be done.Mark my words.
 
..habari hii kama ni ya kweli basi dah!ama kweli tuna viongozi wa mikoa!

..yawezekana huyu alipata kiwewe mbele ya muungwana,kwahiyo akafanya maajabu.

..nashindwa kuamini!
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba mkuu wa mkoa wa Mara kachanga 20m kwenye harambee ya Ccm kukusanya fedha kwa ajili jengo la CCM mkoa wa mara. Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo hajazitoa mfukoni mwake bali bajeti aliyotengewa na Tamisemi/wizara ya fedha kwa ajili ya kutekeleza mipango ya maendeleo ya wananchi. Ni vema akaeleza katoa fedha hizo kasma ipi? Na je atatoa fedha endapo chadema,TLP, CUF, NCCR n.k wakitaka kujenga ofisi zao za chama.Asipozitoa itakuwa ni ubaguzi wa kisiasa na nitaandika tena kumtaka azirejeshe 20m kwani zingeweza kujenga madarasa 3 ya secondary za kata au nyumba 3 za walimu au wafanyakazi wa vituo vya afya maeneo ya vijijini. Ikumbukwe hii ni fedha za walipa kodi watanzania.
Suala hili ni vema tukalikemea la sivyo litaota mizizi.Ukienda kwenye halmashauri za wilaya ndo utashangaa mwezi januari/februari nilikuwa tabora.Nilipata taarifa toka kwa watendaji wa wilaya kuwa magari ya CCM yanapata petrol/diesel toka depot na fungu la bajeti la wilaya, na hawalipii mafuta hayo matokeo yake fedha ya bajeti iliyotengwa inaisha mapema na kuwalazimisha maafisa kupunguza kazi za kwenda kusimamia masuala mbalimbali katika kata na vijiji. Je kweli hii ni haki ccm inayopata ruzuku kubwa toka serikali kupata mafuta ya bure toka serikali ya wilaya.Mbona vya upinzani havipewi mafuta hayo.Mbaya zaidi magari ya serikali yanafanya kazi za kichama CCM.
Ni vema tulione suala hili kama ufisadi/wizi na tulipigie kelele ili mkuu wa mkoa mwingine asichote 20m kupeleka kujenga jengo au shughuli ya ccm.Tulikemee ili mafuta wanayopata ccm bure wilayani yatumike kujaza mafuta magari ya ambulance ili yabebe wagonjwa hasa kina mama wajawazito na watoto wadogo wanaokufa kila kukicha kwa kukosa huduma muhimu za afya kwa sababu wapo mbali na zahanati na hospitali.
Mungu ibariki Tz ili tukate mizizi na mirija ya ufisisadi katika ngazi zote za utawala.
Nawasilisha kwa mjadala

Kuna vituko sana mkoani Mara na ndiyo maana Wangwe analia nao .Mara kiuna migodi kule na huyu mkuu amekuwa kila siku hakosi maeneo ya wazungu.Hizi pesa anaweza kwua katumiwa lakini ni wazungu wanao waua wananchi na kuwapora haki zao ndiyo wanazitoa.Kuna kila dalili kwamba migodi ya mkoani Mara Mkuu wa mkoa ndiye mkono wa JK kuhakikisha fungu linatoka huko .Kama huamini karibu Mara chunguza tena . Kule Tarime kuna mkuu wa Wilaya ambaye ni Fisaidi na yeye CCM ni mbeke kuliko CCM .Majeshi yetu Mara yanatumika kuwalinda wazungu dhidi wanyonge wanao hoji mali zao kukwapiliwa .JK alisha wahi kutamka wazi akiwa Japan ziarani kwamba kama kuna madini basi hao wenye ardhi yao watahama kupisha migodi bila kusema wataishije maana hata malipo hayatoki kirahisi .

Mliosema JK ni mtu wa watu njoeni Mara muone na hasa maeneo ya madini .
 
hii ni dharau kwa watanzania aise.......................20M!!!!!!?? yule jamaa anashindana na kina Mkono sio (mafisadi) anyway kama anazo kila la kheri bwana ila kama ungechangia hivyohivyo ktk vikundi vya maendeleo na kuacha ubinafsi nadhani tungesukuma gurudum letu kwa kiasi flani....anyway bwana mungu atakuhukum
 
Mie nafikiri hili suala lisifumbiwe macho, inabidi aeleze kuwa hiyo pesa kaitoa wapi kulingana na mshahara wake. wengine kama akina Mkono tunajua ni wezi na mafisadi wakubwa. Lakini kwa Mh. RC tena kiongozi wa serikali kutoa fedha kama hiyo mmh, lazima aeleze umma kama hiyo fedha ni ya kwake binafsi au la. Wana JF kazi yenu mnaijua, kama tuliweza kuwakomalia Lowassa na wenzake, na spika Sitta yuko under investigation itakuwa RC??? Hii ni changamoto nyingine ambayo najua itawashinda CCM lakini JF ataitafuna.
 
Trust me Sitta will be cleared na hapo ataendelea kupeta na mapesa yetu .
 
Mfumo Wa Biashara Tanzania Ulivyo Ni Ngumu Sana Kuweza Kufuatilia Hizo Hela Alipozipata Hii Haina Ubishi

Hivi Tanzania Kuna Sheriayoyote Inayombana Mtu Kutoakiwango Fulanicha Pesakwavyama Vyasiasa

Au Ndio Tumeanzishahapa?

Mnakumbuka Mkutanowawana Kagera ??
 
watu wengine humu ndani mahater... hawezi kuchukua hela za budget.. kawaida hua anachangisha wanachama alafu ndio anapeleka hizo hela kama ni yeye. sio zote zake..hahaha watu mkisikia 20 mill. mnashtuka hahahaha... wabongo bwana...!!
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba mkuu wa mkoa wa Mara kachanga 20m kwenye harambee ya Ccm kukusanya fedha kwa ajili jengo la CCM mkoa wa mara. Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo hajazitoa mfukoni mwake bali bajeti aliyotengewa na Tamisemi/wizara ya fedha kwa ajili ya kutekeleza mipango ya maendeleo ya wananchi. Ni vema akaeleza katoa fedha hizo kasma ipi? Na je atatoa fedha endapo chadema,TLP, CUF, NCCR n.k wakitaka kujenga ofisi zao za chama.Asipozitoa itakuwa ni ubaguzi wa kisiasa na nitaandika tena kumtaka azirejeshe 20m kwani zingeweza kujenga madarasa 3 ya secondary za kata au nyumba 3 za walimu au wafanyakazi wa vituo vya afya maeneo ya vijijini. Ikumbukwe hii ni fedha za walipa kodi watanzania.
Suala hili ni vema tukalikemea la sivyo litaota mizizi.Ukienda kwenye halmashauri za wilaya ndo utashangaa mwezi januari/februari nilikuwa tabora.Nilipata taarifa toka kwa watendaji wa wilaya kuwa magari ya CCM yanapata petrol/diesel toka depot na fungu la bajeti la wilaya, na hawalipii mafuta hayo matokeo yake fedha ya bajeti iliyotengwa inaisha mapema na kuwalazimisha maafisa kupunguza kazi za kwenda kusimamia masuala mbalimbali katika kata na vijiji. Je kweli hii ni haki ccm inayopata ruzuku kubwa toka serikali kupata mafuta ya bure toka serikali ya wilaya.Mbona vya upinzani havipewi mafuta hayo.Mbaya zaidi magari ya serikali yanafanya kazi za kichama CCM.
Ni vema tulione suala hili kama ufisadi/wizi na tulipigie kelele ili mkuu wa mkoa mwingine asichote 20m kupeleka kujenga jengo au shughuli ya ccm.Tulikemee ili mafuta wanayopata ccm bure wilayani yatumike kujaza mafuta magari ya ambulance ili yabebe wagonjwa hasa kina mama wajawazito na watoto wadogo wanaokufa kila kukicha kwa kukosa huduma muhimu za afya kwa sababu wapo mbali na zahanati na hospitali.
Mungu ibariki Tz ili tukate mizizi na mirija ya ufisisadi katika ngazi zote za utawala.
Nawasilisha kwa mjadala

Wewe kama huna 20 Million Shillings kivyako, uchochezi kama una uhakika vile--kumchafulia mtu sifa imekuwa tabia ya kawaida..

Kama ni mwizi au mbarifitu atajulikana tu, lakini huwezi kukasirika kiasi hicho wakati wewe huwa huchangi (sina uhakika) hata laki moja kwa CCM au chama chako chochote cha Siasa kikatiba..

RC kachanga kama mwanachama wa CCM,kofia mbili or multiple kofia ni UK law, ila kama ni za chama cha mkoa wako mnataka achange kidogo sana ili Chacha Wangwe apate term nyingi ya ubunge Tarime?

Elements za uzushi na sometimes wivu bila kujua undani wa uwezo wa watu hawa kiuchumi...Kuwa maskini sio maendeleo na haya magazeti sio sheria, ni news tu...subjective/biased if you ask me
 
Alitaka Atoe Kidogo Kwa Makusudi Kama Kale Kabibi Kakatika Biblia Enzi Zile

Huu Ni Wakati Wa Uwazi Naukweli Kamaunacho Unatoa
 
Milioni 20 siyo pesa nyingi kama mnavyotaka tuamini hapa. Inawezekana huyu jamaa ana biashara zake ambazo zinamuongezea kipato tofauti na mshahara wake. Nitashangaa sana kama mkuu wa mkoa hana hiyo milioni 20. Naamini members wengi wa JF wana pesa zaidi ya hiyo.

Lakini kama amechukua hizo pesa kutoka kwenye kasma ya mkoa, kinyume na utaratibu basi hapana budi hatua kali zichukuliwe dhidi yake kwa mujibu wa sheria.
 
Wachangiaji wengine wa JF, wanachekesha sana... do you really think CCM inaweza changiwa na Fedha za Hazina kwa kipindi hiki... tuacheni vitu vya kututia aibu sisi wana JF... Kwa akili zako unadhani Kikwete atamtetea mtu wa namna hii? Au CAG.. Utoh atamtetea mtu wa namna hiyo kwenye ukaguzi wake... CHADEMA iko imara kule Musoma... kwa akili zako unadhani wangelifumbia macho hili? au huyo mkuu wa mkoa asingejua kwamba CHADEMA wataona matumizi ya fedha hiyo!!!

Tuache vichekesho hapa.

Hivi si CCM hii hii iliyoamua kwamba mali za CCM zisiwe na mahusiano na za Serikali..., mali ngapi zilirudishwa serikalini tangu enzi hizo za 1992.

I'm 100% sure jamaa ametoa fedha hiyo kutoka kwa vyanzo vyake mbalimbali ... yeye mwenyewe, marafiki zake etc...

Tatizo kwa uhuru wenu mliopewa muna-underestimate CCM to the un-acceptable level... na Kama CCM inafanya hivyo kweli bali mumtukana hata vyama vya upinzani kwamba hawafuatilii haki zao...
 
The idea of a government employee contributing to a political party is at the very least repulsive and stinks of favoritism and ethical misconduct.

In light of fairness, the RC is not to engage in any political pandering, else he will have to contribute the same amount to every political party.

Today is contribution, tomorrow it will be some other favors, on election year it will be election rigging.

Total and clear conflict of interest and ethical misconduct issues.
 
Mkuu Pundit,

Really good points, However it may be a WISH. like a series of many we always communicate here in the forum.

Where is it written in United Republic of Tanzania policies, procedures, guidelines, code of conducts, ethics etc... if you can reffer us to that it will real help!

By the way isn't RC, DC a political appointee??? Are you also saying Minister should not contribute to their respective part as well? As they are also paid salary!!!

Many would like to have Ideal world... but that will never be a reality!!!
 
Wrong... Ministers, Deputy Ministers,are Political appointments, RC's are appointed by the President to run the Govt..Our system resembles the UK Law profoundly, thats why Ministers are picked from a poll of MP's,just like the House of Commons.OK

Pundit is talking about the separation of Church and State..These leaders have a constitutional right to support,or not support any political party of their choosing..Him contributing money is not in violation of any law, especially a law that chooses the Government leader (President) via a political process..No, its fine for him to support the Regional Political Party there..No one dictates him helping another political party he is not affliated with..Thats insanity..Speculations of misconduct, maybe elsewhere, here it doesnt hold no water..

Raising money is part of politics, and Politics is about having more people, if the opposition has failed to attract party members, maybe they're in the wrong line of business!! maybe they should just open a Social Club--less people less Headaches..
 
Mkuu Pundit,

Really good points, However it may be a WISH. like a series of many we always communicate here in the forum.

Where is it written in United Republic of Tanzania policies, procedures, guidelines, code of conducts, ethics etc... if you can reffer us to that it will real help!

By the way isn't RC, DC a political appointee??? Are you also saying Minister should not contribute to their respective part as well? As they are also paid salary!!!

Many would like to have Ideal world... but that will never be a reality!!!

Ministers and other political appointees do contribute as citizens and CCM members, not as ministers.

Tatizo ni kuwa watu wanaona milioni 20 ni nyingi sana kuwa amechangia hela zake, halafu ripoti imekuja kama RC.RC is a political appointment but it is not a party appointment, it is a government appointment kwa hiyo concern ni kwamba anatumia funds za serikali kukifadhili chama.

La kama hizi ni fedha zake, waseme fedha zake, na wasimtaje kama RC, wamtaje kama mwanachama au cheo chake chochote cha kichama.

Halafu ndipo hapo aanze kuulizwa amepatawapi hela za kuchangia milioni 20.
 
Wachangiaji wengine wa JF, wanachekesha sana... do you really think CCM inaweza changiwa na Fedha za Hazina kwa kipindi hiki... tuacheni vitu vya kututia aibu sisi wana JF... Kwa akili zako unadhani Kikwete atamtetea mtu wa namna hii? Au CAG.. Utoh atamtetea mtu wa namna hiyo kwenye ukaguzi wake... CHADEMA iko imara kule Musoma... kwa akili zako unadhani wangelifumbia macho hili? au huyo mkuu wa mkoa asingejua kwamba CHADEMA wataona matumizi ya fedha hiyo!!!

Tuache vichekesho hapa.

Hivi si CCM hii hii iliyoamua kwamba mali za CCM zisiwe na mahusiano na za Serikali..., mali ngapi zilirudishwa serikalini tangu enzi hizo za 1992.

I'm 100% sure jamaa ametoa fedha hiyo kutoka kwa vyanzo vyake mbalimbali ... yeye mwenyewe, marafiki zake etc...

Tatizo kwa uhuru wenu mliopewa muna-underestimate CCM to the un-acceptable level... na Kama CCM inafanya hivyo kweli bali mumtukana hata vyama vya upinzani kwamba hawafuatilii haki zao...

Kasheshe
Chadema iko Tarime na si Musoma .Na CCM wanaweza kufanya lolote kwa madai kwamba wana siri ama wako madarakani .Mkuu wa mkoa akifanay haya kwa CCM hapa ndipo utata unakuja kwamba why Mkuu wa Mkoa wa CCM na hara uletaji wa maendekeo utakuwa ume egemea upande .RC ni mtumishi wa Serikali si CCM lakini anajiingiza kwa CCM.Pesa hizo mie nasema si zake ila katumwa tu kupeleka pesa hizo toka kwa wale wazungu waliokalia migodi yetu kwa mabavu.
 
Back
Top Bottom