Mafisadi wavuliwe uzee wa kanisa makanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafisadi wavuliwe uzee wa kanisa makanisani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 15, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Waana ndugu kama kweli tumeamua kupigana vita na ufisadi nafikiri vyema tuakwa siriasi kupigana nao si kuwakumbatia sehemu zingine na zingine kuwapiga madongo...binafsi nigeomba sehemu zinazomuheshimu MUNGU nazo zianze vita kamilifu ya mafisadi...unakuta makanisa mengi sana MAFISADI NDIO WAZEE WA KANISA UKIJA KWENYE KAMATI ZA MAKANISANI...MAWAZIRI NA WENGINEO WACHAFU NDIO WANAOONGOZA KIS TU WANAUWEZO AMA WA KIFEDHA AMA KULETA WATU WENYE NAZO...NOOO HILI SIKUBALIANI NALO TUNAITAJI KUWA NA MADHABAHU ILIOKAMILIKA NA SIO KUCHEZEA MADHABAHU YA MUNGU.......
  MI NASHAURI KAMA KUNA KANISA MNALIJUA LINAKUMBATIA MAFISADI TUWEKEENI WAZI WENGINE TUTASONGANAO MBELE.....KUJUA MWISHO WAO....,HATUKUJA KUHUKUMU NAOMBA IELEWEKE NI VIZURI KAMA TUMEAMU KUPIGANA NAO TUPIGANE NAO KILA SEHEMU SI KUWABANA ALAFU TUNAACHIA SEHEMU ZINGINE....

  VITA NI VITA MURAAAAAAAAA
   
 2. A

  AM_07 Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  politics sometimes find its way in the church and funny enough it always silence SOME of servants (asilimia hamsini a ujenzi wa kanisa fisadi anatoa, ni wachungaji/mapadre/ whoever atazikataa? in long run wanaua reputation ya kanisa( some where in the bible is written ....................erusalemu unaua manabi.........have a detailed read on it)
   
Loading...