Vyoo vya uwanja wa ndege JNIA vimezidi uchafu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Jamani hii sasa ni kero wana ndugu
Hivi hawa wanaotoa tenda za usafi na nyinginezo kwa ndug/wake zao
na mwisho kushindwa kufanikiwa kutimiza malengo yao wanawatakia nini watanzania wanaotumia vyoo vile...jamani ni hivi majuzi tu TAA wameamua kurekebisha vyoo vyao...kwa kufanya renovation ya nguvu matokeo yake baadhi ya mabomba yameanza kutoboka na kuvuja ....sasa sijui mambo ya wachina ama/
je kwa hawa vijana wanaoajiriwa na kuishia kuuza suura kama awataki kazi tunaomba wabadilishwe...unakuta unaingia vyooni choo hakina hata toilet paper ukitoka kuwauliza wanasema bosi kasema mwisho 4 kwa siku...jamani kwa uwanja ule ,na jinsi watu wanavyokandamiza matumbo yao si wanataka watu wajipake mavi???embu tunaomba serious check ya hivi vyoo kuondokana na magonjwa yanayoweza kuepukika.....
uongozi wa TAA tunaomba nanyi muwe mnaangalia si tu kutoa tenda na kuwaachia watu bila uangalizi.....tunawatakia marekebisho mema ya tabia
 
unakuta asubuhi tu maji chini yamezagaa tiles nyeusiii utasema umepaka kiwi...oooooh no
 
Back
Top Bottom