Ni mtanzania gani ambaye ni 'maarufu' kuliko wengine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mtanzania gani ambaye ni 'maarufu' kuliko wengine?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Nov 15, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Je, kwa mtazamo wako, unadhani ni mtanzania gani (katika siasa, michezo, burudani n.k) ambaye ni 'maarufu' kuliko wengine? Taja jina lake!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  1. JK Nyerere
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hivi Bakhresa ni m-tz? Basi huyohuyo. Anagawa ajira, anatengeneza mamsosi kuanzia ya bei ya chini mpaka ya juu. Analisha wengi. Hivyo ni maarufu
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mimi
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahaha! sawa ni wewe....
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mfunyukuzi of course
   
 7. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Edward Lowassa kwa tamaa ya kujilimbikizia mali ya watanzania utadhani ataishi milele; si tour operator, si mmiliki wa machimbo, si mmiliki wa mahoteli, majumba usiseme, tamaa hadi ya kula na kunywa, huamsha hadi wahudumu wa mahoteli wakamletee mbuzi laiiiiiniii saa nane usiku, hadi mwanamke mzuri anataka yeye kwanza. Ni maarufu kwa tamaa in real fact. Akibisha aje!! na Wildbrod Slaa maarufu kwa kutetea ulinzi wa mali ya watanzania
   
 8. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Itakuwa ni Rais aliyekuwepo Madarakani Hivi sasa ,kwani baada ya kuingia madarakati viongozi na watu mashuhuri wa ulimwengu wamekuwa wakimwagika Tanzania kwa shughuli mbali mbali ikiwa za kibinafsi au za kiserekali.na hata jina la TANZANIA ameweza kulitanga zaidi katika pande zote za ulimwengu,kuliko ilivyokuwa kwa watangulizi wake.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ndo manake jeuri ya pesa hiyo...hata mimi ningekuwa na mapesa ningetaka kuamka saa 9 usiku nataka kiti moto lainiiiii na mademu wakali tu ndo wangekuwa wangu
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheee
   
 11. R

  Rikab Mikail Member

  #11
  Nov 15, 2009
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Julius kambarage nyerere
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nje ya nchi ni hasheem thabeet
  ndani ya nchi ni jk
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mizengo Pinda
   
 14. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #14
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mambo hayo!
   
 16. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkwawa
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  MTANZANIA MAARUFU KULIKO WOTE MIMI NINAFIKIRI ATAKUWA HUYU MUANZILISHI WA FORUM HII (https://www.jamiiforums.com)
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
 19. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Rostam aziz
   
 20. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mzee ukipata za kubadilisha mboga itakuwa ni kitimoto na totoz siyo!
   
Loading...