Jela miaka 30 kwa kulawiti

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
November 16, 2009

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala ya jijini Dar es Salaam, imemuhukumu mfanyabiashara Mohamed Yusuph (27), mkazi wa Kariakoo kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka 11.

Hukumu hiyo imetolewa katika mahakama hiyo na Hakimu Janeth Kinyage wakati upende wa mashitaka wa kesi hiyo ulikuwa ukiongozwa na Mwendesha Mashitaka, Mkaguzi wa Polisi, Mussa Gumbo.

Mwendesha Mashitaka Mkaguzi wa Polisi, Bw. Musa Gumbo alimtaka Hakimu kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo katika jamii.

Kabla ya hukumu hiyo kutolewa, mahakama iliamuru mshitakiwa huyo kufungwa kifungo cha maisha kutokana na uzito wa kosa lake.

Lakini baada ya mshitakiwa kuomba apunguziwe adhabu kutokana na matatizo yake ya kiafya mahakama iliamuru akatumikie kifungo cha kwenda miaka 30 jela.

"Muheshimiwa hakimu naomba nipunguziwe adhabu hiyo kwa kuwa hali yangu ya kiafya sio nzuri muheshimiwa" aliomba mtuhumiwa mbele ya mahakama

Hakimu Janeth Kinyage alisema, ametoa hukumu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ambao unamtia hatiani mshitakiwa.

Awali ilidaiwa kuwa Februari 21, mwaka jana, katika maeneo ya Feri, mshitakiwa alimlawiti mtoto wa miaka 11 [jina linahifadhiwa] na kumsababishia maumivu makali mwilini na kumuharibu maumbile.

Hivyo kutokana na ushahidi uliosikilizwa na hakimu kuuridhia na ushahidi wa kidaktari mtuhumiwa anakwenda kutumikia kifungo hicho jela.

Source: NIFAHAMISHE
 
Je hiyo hali yake mbaya kiafya doesnot have something to do with the victim?? I guess he is not suffering from HIV/AIDS!! I am just thinking aloud!!

Ningekuwa hakimu nisingempunguzia adhabu. Kwani alipokuwa anabaka alikuwa na huruma?? Wabakaji wote wanatakiwa a life time imprisonment ili wakae huko wasije duniani kuharibu watoto na wajukuu zetu.
 
mkuu naona adhabu haitoshi angeongezewa adhabu pamoja na viboko aamriwe kulala bila bila nguo mwaka mzima naye afanyiwe kama alivyomfanyia huyo mtoto kwa kweli inasikitisha sana yote haya mambo ushirikina
 
Huyu kijana inaonyesha biashara yake inamtaka awe analawiti watoto au nini? hiyo hamu anaipata wapi?mbona wanawake wako wengi sana?
 
Je hiyo hali yake mbaya kiafya doesnot have something to do with the victim?? I guess he is not suffering from HIV/AIDS!! I am just thinking aloud!!

Ningekuwa hakimu nisingempunguzia adhabu. Kwani alipokuwa anabaka alikuwa na huruma?? Wabakaji wote wanatakiwa a life time imprisonment ili wakae huko wasije duniani kuharibu watoto na wajukuu zetu.

Ashukuru Mungu hayuko katika baadhi ya jela za US ambako wafungwa wenzie wangempatia adhabu ya kifo na kuitekeleza pindi mwanya ukipatikana bahati bahati anaambulia ulemavu wa maisha!
 
Hey SCHMITH WHAT HAS ISLAM GOT TO DO WITH THIS?
IF HE WAS LYIMO ,TARIMO OR MENGI..WOULD YOU HAVE BLAMED CHRISTIANS..
ACHA WEWE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111
 
Taratibu mzee....huyo baradhuli sio waislamu wote.By the way,shika adabu yako.Tena kwa mikono miwili.Lol!

Baba Juma:!!!
Wewe unaita kiumbe cha Allah, baradhuli?

Waislam bana, kaazi kweli kweli,,,,,,
 
Back
Top Bottom