Matembezi kwenye Ufukwe wa Mabwawa ya Majitaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matembezi kwenye Ufukwe wa Mabwawa ya Majitaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IshaLubuva, Nov 17, 2009.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kumekuwa na kawaida ya baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma siku za mwisho wa juma kufika katika mabwawa ya majitaka yaliyoko maeneo ya Swaswa (wengine wakiwa wamekodisha tax) kwa ajili ya matembezi. Mimi ni mkazi wa maeneo karibu na mabwawa hayo na mara kwa mara nimekuwa nikiona magari madogo yakifika maeneo hayo.

  Picha ninayoipata ni kuwa wakazi wa Dodoma na mikoa mingine ambayo haipakani na bahari au kuwa na maziwa wanakosa kweli uhondo wa kupata fursa ya kutembelea maeneo ya ufukwe nyakati za mwisho wa juma kwa lengo la kujipumzisha au kubadili madhari, hasa kwa wale ambao hawanyanyuagi mioyo (hawanyi vileo). Hivi serikali za mikoa kama Dodoma hawawezi kuwa na mkakati wa kutengeneza mabwawa ya aina ya yale ya majitaka laakini yakawa ya majisafi ili kuwapa furs wakazi wake kujivinjari nyakati za mwisho wa juma na siku za sikukuu?
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  maajabu hayo. maji taka tena!!!!
   
Loading...