’TRA bows to political pressure over Dowans’ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

’TRA bows to political pressure over Dowans’

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by paesulta, Nov 13, 2009.

 1. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ’TRA bows to political pressure over Dowans''
  FROM:http://www.thisday.co.tz/News/6500.html


  POLITICAL influence and interference is said to be behind a move made by the Tanzania Revenue Authority (TRA) to rescind a decision to confiscate Dowans assets to compel the company pay a debt of 9,120,611,746/- taxes., including its gas-fired turbines seized on Tuesday,

  Investigations by THISDAY have established that after TRA seized Dowans properties on Tuesday, including its gas-fired turbines, a meeting was held between TRA and Dowans’ top officials for hours.

  �Influence played a major role towards the change of decision by TRA to seize the Dowans assets until the company settles the debt,� an informed source who preferred anonymity told THISDAY.

  The source further said that TRA had the right to collect taxes particularly on those customers who have defaulted paying for a long time, but surprisingly, after making such a decision the tax collecting instrument received an order from above to withdraw its decision.

  The inside source stated further that after a long meeting between TRA and Dowans, which was said to be politically motivated, another order was issued by the TRA to its agent to release the seized properties and be handed back to Dowans and on the the same day, the properties were handed back to the company.

  The properties were seized by TRA agent, Majembe Auction Mart, on the grounds that the company had not remitted 9,120,611,746/- in taxes to TRA.

  Some of the seized properties include eight containers used to store fuel and other equipment.

  The properties were seized on ground that if the power company fails to settle the debt, the seized properties would be auctioned after ten days from today.
   
 2. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sisi Wa-tanzania jamani ni kweli “chakula-cha-simba”tu kama alivyonieleza babu yangu alipokuwa hai and WE ARE GOOD FOR NOTHING. Kama sisi sio “chakula-cha-simba” tungeliidhalilisha TRA leo kama hivi? TRA ni toothless bulldog kwa mafisadi, lakini kwa sisi wadogo meno inayo.
  Taxes zile za Dowans zisingeliisaidia Taifa hili kununua vitanda vya ile clinic ya Temeke, au kuwajengea mabanda wale wanafunzi wa Mbagala wanaosoma chini ya miti? Kwanini sasa zinacheleweshwa hizo kodi? Kama sisi Wa-tanzania sio “chakula-cha-simba” tungelikaa kimya? Kwanini tunashindwa kupigania haki yetu? Wanaokaa chini mashuleni ni watoto wetu na sio watoto wa Muungwana. Wanao lala kitanda kimoja wazazi watatu ni wake, mama na dada zetu na sio wa Muungwana. Wanaozalia chini kwenye sakafu kwa kukosa vitanda ni mama zetu, dada zetu na wake zetu na sio wa Muugwana. Hivyo tunadhania Muungwana na wenziwe watatupigania sisi walalahoi? Muungwana kesha, yeye ni muflis kisiasa hivi sasa, na anangojea siku zake ziishe tu!!! Wabunge wetu machachari nao ni hali kadhalika, uchachari wao ni kule Dodoma tu wakingojea allowance mbili mbili - majimboni mwao wanatafutwa hawaonekani!!!
  Kwanini kesho Jumaapili baada ya kuenda makanisani na misikitini tusitoke barabarani sote asubuhi hapa DSM na mabango tukipinga ile rescinding order iliyotoka juu na tukataka Dowans lazima walipe kodi within 10 days kama TRA ilivyoamuru mwanzo au mali zao zitaifishwe?
  Au kuandika haya jamani ni kuisaliti nchi? Kama ni kuisaliti nchi basi wakubwa ninakuombeni radhi!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Dowans ni 'untouchable' kama ilivyokuwa kwa Richmond Development Company LLC! Hayo maandamano ni mazuri lakini nani mwenye ujasiri huo? Watz huwa wanaandamana kama ni kwa ajili ya kudai "nyongeza za mishahara," "mafao ya uzeeni," nk! Hata vyuoni wanafunzi huwa wanagoma kama hawajapatiwa mikopo au kama imecheleweshwa, nk Uzalendo kazi kweli kweli!
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Dowans ni ya kikwete sasa mnataka alipeje kodi na kwa utaratibu wa CCM wao huwa hawalipi kodi ktk biashara zao.
   
 5. L

  Lampart Senior Member

  #5
  Nov 16, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante Nd. Magezi. Hili kwangu ni jipya!
  Nilikuwa sijui kama Dowans ni ya Muungwana!
   
Loading...