Kanisa la kakobe

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Nilipita barabara ya Sam Nujoma jumamosi nikawakuta waumini wa Kakobe wamekaa nje ya kanisa hilo huku wamevaa t-shirts za njano mbele zimeandikwa "Baada ya Richmond sasa mmehamia makanisani" na nyuma zimeandikwa "Tanesco muogopeni Mungu" Naona hivi vijembe ni kwa ajili ya Serikali na Tanesco...
 
hao watu wamekosa kazi...
ni kawaida yao hao kwani kila mwaka wa uchaguzi ndio wanafanyaga vituko hivyo....
wewe jiulize kwanini mwaka jana huyo KKB alikuwa kimyaaaaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom