Kanisa la kakobe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa la kakobe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwalimu, Feb 1, 2010.

 1. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nilipita barabara ya Sam Nujoma jumamosi nikawakuta waumini wa Kakobe wamekaa nje ya kanisa hilo huku wamevaa t-shirts za njano mbele zimeandikwa "Baada ya Richmond sasa mmehamia makanisani" na nyuma zimeandikwa "Tanesco muogopeni Mungu" Naona hivi vijembe ni kwa ajili ya Serikali na Tanesco...
   
Loading...