Misri bingwa mara ya tatu-can

Misri bingwa mara ya tatu-can

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,671
Reaction score
37,843
Timu ya misri imeweza kuwafunga ghana
na kuchukua kombe kwa mara ya tatu mfululizo
alikuwa ni hassan.a aliewanyanyua wamisri vitini
na huku nchini misri watu wakirindima.ilikuwa ni uzembe wa beki za ghana kuwasindikiza washambuliaji wa misri na kufanikiwa kupata ushindi hata hivyo ghana imejitahidi kwa kucheza vizuri
kila la kheri misri
 
misri wamecheza vizuri mechi zote ktk mashindano haya, wanstahili ubingwa, hongera faraohs
 
Hamishia hii thread kwenye jukwaa la michezo. Nilitamani zaidi washinde Ghana.
 
Back
Top Bottom