Muhingo Rweyemamu kulipwa fadhila?


Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined
Jan 15, 2007
Messages
139
Likes
92
Points
45
Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined Jan 15, 2007
139 92 45
Kuna nyeti imenifikia nikaona si vema kukaa kimya. Nia si kuwaharibia move (najua hawatabadili mawazo) lakini kutaka kujua kutoka kwenu wakuu.

Nyeti yenyewe iko hivi; Muhingo anaweza kuanza kazi rasmi TSN wakati wowote kuanzia sasa. Mipango inakamilishwa. Hivi ndio kulipwa fadhila au????
 
P

pombe

Member
Joined
Feb 2, 2010
Messages
12
Likes
0
Points
0
P

pombe

Member
Joined Feb 2, 2010
12 0 0
Kwa nini isiwezekane mkuu. Kama iliwezekana kwa Salva Rweyemamu why not Mhingo? Ndio anakuwa ME AU?
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,659
Likes
1,974
Points
280
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,659 1,974 280
Kama ana qualify kufanya kazi TSN why not?
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
26,645
Likes
27,427
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
26,645 27,427 280
Alikokuwa ni gazetini na anakokwenda ni gazetini, hakuna fadhila zozote ni kazi tuu.

Muhingo kama Muhingo, ameshajijengea sifa ya msimamo na heshima yake katika tasnia ya habari, iwe ni katika kumtumikia papa, nyangumi au kafiri, ili mradi upate mradi wako.

Ni kweli TSN inatafuta ME kwa muda mrefu, calibre ya Muhingo kwa ME wa TSN ni bado. Kama Mkumbwa amemfundisha kazi Muhingo, shule zenyewe za enzi zile za TSJ, Mkumbwa kashindwa kupewa itakuwa Mhingo!.

Kwa vile jahazi za Habari corp linayumba yumba, kuna hatari ya kuzama, nahodha makini ni yule anaye toa alert kwa abiria kuhusu hatari iliyo mbele yao, na kutia nanga pwani yoyote ya karibu kuepuka tufani, ndicho alichofanya Muhingo, its a right move.

Habari Corp ni jahazi dogo, TSN ni chombo kikubwa, imara na hakiwezi zama, hivyo capt wa jahazi dogo hawezi panda chombo kikubwa na kuanzia u-captain, lazima ataanzia 2nd Off, then 1st Off ndipo afikiriwe u-capt.

Kama ni kweli, all the best kwa Muhingo.
 

Forum statistics

Threads 1,213,082
Members 461,948
Posts 28,466,395