Rasmi: Mama Ndege ni Member wa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasmi: Mama Ndege ni Member wa JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Albedo, Feb 8, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jana nilikuwa naongea na Mama NYU ( Ndege ya Uchumi) akafungua net akawa anacheki JF, nikamuuliza vipi na wewe ni Member? Akaniambia ni Member wa JF, nikamuuliza anawafahamu member wapi through michango yao akasema anawafahamu Preta, FirstLady1 na wngine wenye majina ya Kike!

  Hongera sana mama NYU mimi mumeo ni Member na Ninakupenda sana
   
 2. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jaribu kucheki na ile ID yake ya pili...!
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hata hiyo ya kwanza sikutaka kuifahamu coz naheshimi privacy yake na Uhuru wake wa kutoa mawazo Mujarabu hapa JF
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Tunapenda sana shemeji yetu....mfikishie heshima na salaam
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Haa haa haaa! Msifahamishane ID zenu, isije ikaleta matatizo katika ndoa, maana kila mmoja akifuatilia mabandiko ya mwenzake huenda nyumbani hapatatosha.
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mmh yaani siku zote hizo ulikuwa hujui kama mkeo ni member wa humu..basi ndoa yenu haina mvuto..mna usiri sana..teh teh teh!
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ha ha haa ungeniuliza ni Ndiyo ya Muda gani ndiyo hiyo hoja yako ya Siku zote ingekuwa na Mashiko. Nimefurahi kwa Sababu JF inatoa Ilimu Murua kabisa sasa ni vizuri Familia nzima ikapata Ilimu hiyo
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu ndio maana sikuweka Ushawishi wa Kubadilishana ID kila mtu na yake ili kuwe na Uhuru wa Kuchangia
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,143
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  anakaribishwa sana jamvini......hata mimi nilipata idea kwa Paco ndio maana nikajiunga.....karibu sana Mrs NYU
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Mbona umenikimbia kule kwenye ile thread?
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,143
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  hee shem kumbe bado upo, kuna kathread ka pape nimekuona umeaga .....nilikuwa nafanya mpango wa kupata bata ndio nashughulikia mpaka sasa
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Njoo kule bwana huwezi jua waweza nipatia vitamu!
   
 13. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #13
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Haya bwana nimekuelewa.Hongera kwa kujitetea.
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,143
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  wapi sasa kwa Pape au kwa mchumba?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Kule kwa mchumba....kwa pape hapana duuuu is not healthy at this time!
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,143
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  wacha tuendelee kesho na nitakuwa nimeshampata huyo bata......tutaendelea na pishi la bata taarisha viungo
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Shida yangu napenda onja michuzi......
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yalaaah makubwa hayo mie simo....
   
Loading...