Binadamu Mungu hakunyimi yote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binadamu Mungu hakunyimi yote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Spear, Feb 8, 2010.

 1. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Mwanafunzi bora wa kidato cha nne kwa mwaka 2009, Imaculate Mosha kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana Marian ya mjini Bagamoyo, akipongezwa na kaka yake Eng. Dominic Mosha baada ya kupokea taarifa za matokeo hayo jana akiwa mjini Bagamoyo alipokwenda kufanya usaili wa kidato cha tano katika shule ya Marian.
   
 2. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 346
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Una maana gani? hebu fafanua.
   
 3. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  unaweza kuwa umetokana na familiya ya kimasikini lakini ukabahatika kufudhu kuliko mtoto wa kitajiri.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,950
  Trophy Points: 280
  wewe unaonekana hujui hata tafsiri ya neno masikini....
   
 5. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tupe maana ya neno maskini .you 2 slow, hujaipata hiyo picha inayochezwa hapo .
   
 6. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hongera sana Imaculate.
   
 7. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hata mimi sijaelewa maana ya heading yako Kuwa Mungu hakunyimi vyote. Maana kwa mtazamo wangu ni kuwa kutokana na heading yako ninaweza kunyongoloa kuwa au Imakulata na kasoro ya kimaumbile, au sura yake mbaya, au mapungufu yoyote katika mwili wake, hivyo basi pamoja na kuwa na kasoro hizo lakini bado alikuwa anafanya vizuri sana darasani hivyo kupelekea kuwa mwanafunzi bora katika mtihani yake ya kuhitimu.

  Huu ni mtizamo wangu pengine mwenye mada atatufafanulia zaidi. kama hana ufafanuzi basi awe anaangali "heading" inayoendana na thread.

  Pamoja na hayo Hongera sana IMACULATE Mungu akujalie na akutangulie katika safari mpya unayoianza ya elimu dunia.
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Kwa mwenekano tu huyo BINTI MAFATAKI hawasogei - I'm not offending anyone here - She is NOT "sexually attractive"!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...