Nini chanzo cha wewe kunywa pombe!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,892
Wakuu naomba mnisaidie nini chanzo cha wewe kunywa Redds,value,konyagi,Uhuru,Serengeti,Safari,JB,Sirminoff,wanzuki,Ulanzi,Jack Daniel,Gongo.

Mimi kwanza kabisa rafiki zangu wote walikuwa cha pombe kwa hiyo tukienda baa walikuwa wananiambia kuwa hawataki soda mezani kwa kuwa inaletaa nzi basi wakanishi na kuniambia kuwa haina madhara ndo nikaanza kunywa safari aina ya unyumba,nikahamia kwenye plisner Ice baade konyagi na mwisho nipo kwenye Uhuru na Serengetiserengeti. Kwa mbali saana JB na Siminoff.
 
Kwenye MV Liemba ndani ya Ziwa Tanganyika. Ni safari ya masaa 9 usiku, na kwenye meli tulipanda masaa mawili kabla. Kwa hiyo jumla ya muda wa kukaa mule mpaka nifike ni masaa 11.

Sikuwa na cha kufanya zaidi ya kwenda baa ya ndani ya meli na kujaribu kunywa bia. Tangu siku hiyo najuta kuifahamu bia!
 
Wakuu naomba mnisaidie nini chanzo cha wewe kunywa Redds,value,konyagi,Uhuru,Serengeti,Safari,JB,Sirminoff,wanzuki,Ulanzi,Jack Daniel,Gongo.

Mimi kwanza kabisa rafiki zangu wote walikuwa cha pombe kwa hiyo tukienda baa walikuwa wananiambia kuwa hawataki soda mezani kwa kuwa inaletaa nzi basi wakanishi na kuniambia kuwa haina madhara ndo nikaanza kunywa safari aina ya unyumba,nikahamia kwenye plisner Ice baade konyagi na mwisho nipo kwenye Uhuru na Serengetiserengeti. Kwa mbali saana JB na Siminoff.
Mrafiki waliokuwa wanakunywa............ NAKUMBUKA TULIENDA DISCO TUKIWA MTC (MBEYA TECH. COLLEGE) ENZI HIZO, TUKA NA VITOTO VYA LOSS (LOLEZA SEC SCHOOL) SASA KITOTO NILICHOKUWA NACHEZA NACHO DISCO KILIKUWA KINAPIGA ULABU.......... SASA KWA KUONA NOMA NAMI NIKAANZA KUKANDAMIZA............BASI TANGU SIKU HIYO NIKAWA KAMA NIMEROGWA VILEEEEEE... MWEEE nifwile nyambala..........
 
Mi hata sijui nilianza lini. Nafikiri tangu nizaliwe.
Kuna mchaga anayejua alianza lini kunywa ze ulabu? Sidhan kama yupo.
 
My friend started just after the heart break! So, he needed to reduce stresses!
 
Labda pia mtufafanulie. Kwa anayeonja pombe mara ya kwanza ni chungu na, kwa ujumla, ladha yake haifurahishi. Inabidi mdau afanye kazi ya ziada kufikia hatua ya addiction ambayo ndiyo humpa hiyo ladha isiyo na breki. Si kitu otomatiki. Sasa ni MSUKUMO UPI unaokufanya mtu ujitume siku/mara kadhaa hadi uipate hiyo ladha inayosifiwa na wanywaji? ;)
 
chanzo,
mimi nakunywa pombe ni kama sehemu ya urithi, maana , nilikua nakunywa pombe nikiwa katoto, na baba yangu akawa ananisifia kuwa nina akili sana, na mama akawa akienda kilabuni anarudi na wanzuki kidogo, ama mnazi kwa ajili yangu. ndo maana naamini kuwa pombe ninayokunywa ni asili yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom