Sir Elton John claims Jesus was gay (Mbona mnatuchanganya)


Status
Not open for further replies.

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Messages
729
Likes
3
Points
35

Sonara

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2008
729 3 35
Mbona manchuchanganya ?Mara ni Mungu mara ni mtoto wa Mungu leo hii tunapewa tarifa mpya kuwa jesus alikuwa Jirani .twambieni lipi kati ya hayo ni la u kweli .

Sir Elton John claims Jesus was gay

Rock star offends US Christians by claiming Jesus was a 'super-intelligent gay man'elton-john--001.jpg
Sir Elton John, seen here on stage in Germany, has offended Christians by saying Jesus was gay. Photograph: Sascha Baumann/Getty Images

Sir Elton John has sparked outrage among Christians in the United States after claiming Jesus was gay.
In an interview with US magazine Parade, John said he believes Jesus Christ was a "compassionate, super-intelligent gay man who understood human problems".
His remarks have upset America's religious lobby, not known for its tolerance of diverging views, with one senior US Catholic complaining that Jesus had labelled a "sexual deviant".
In the wide ranging interview – due to be published in full on Parade.com later today – John, 62, spoke about drugs, fame and Christianity.
Talking about Jesus, he said: "On the cross, he forgave the people who crucified him. Jesus wanted us to be loving and forgiving. I don't know what makes people so cruel. Try being a gay woman in the Middle East – you're as good as dead."
John, real name Reg Dwight, also discussed consummating his relationship with civil partner David Furnish and how the pair keep their love alive.
But it is his remarks regarding Jesus that appear to have stoked the most interest.
Bill Donohue, president of the Catholic League – a US Catholic civil rights organisation which says it aims to defend Catholicism – said John was not in a position to pass comment.
"Jesus was certainly compassionate, but to say he was 'super-intelligent' is to compare the son of God to a successful game-show contestant," Donohue said.
"More seriously, to call Jesus a homosexual is to label him a sexual deviant. But what else would we expect from a man who previously said, 'From my point of view, I would ban religion completely.'"
Stephen Green, director of right-wing US Christian group Christian Voice, dismissed the claim as "rubbish".
"The Bible says Jesus was without sin and that rules out homosexuality," he said. "This is a desperate cry for attention."
In Britain, the response was somewhat more moderate.
A spokesman for the Church of England said: "Sir Elton's reflection that Jesus calls us all to love and forgive is one shared by all Christians."
"But insights into aspects of the historic person of Jesus are perhaps best left to the academics," he told the BBC
 

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Messages
5,905
Likes
1,836
Points
280

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2009
5,905 1,836 280
Hata kama dhambi zako ni nyekundu kama damu ukisamehewa zitakuwa nyeupe kama theruji, hamjachelewa, tubuni msamehewe. Unaweza kunena jambo lolote baya juu ya mwana wa Mungu lakini ole wako usije kumkufuru roho mtakatifu, hakuna msamaha.
 

Kichwa

Senior Member
Joined
Mar 15, 2007
Messages
119
Likes
2
Points
0

Kichwa

Senior Member
Joined Mar 15, 2007
119 2 0
Hili bwabwa ushoga umeanza kuathiri ubongo wake msameheni bure yuko kwenye ushoga kwa miaka 40 what do you expect of him?
 

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
183
Points
160

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 183 160
sasa sir Elton John ni nabii? Mtume ? ama shoga , mwanamuziki tu .......kwenye Ukristo, tunamsamehe, ataadhibiwa na Muumba mbigu na dunia, wangekua wale wa dini ya shehe yahya , walai wangemtoa roho.
sie Mungu wetu ni makini, anajipigania, waache watukane.
 

kingwipa1

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2008
Messages
335
Likes
18
Points
35

kingwipa1

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2008
335 18 35
Kwa nini ukiri kuchanganywa na shoga mbaye fika unafahamu kuwa ana upungufu wa akili?
Je, unaamini maneno ya mwehu hata kama ni mwehu maarufu?
 

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
183
Points
160

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 183 160
Kwa nini ukiri kuchanganywa na shoga mbaye fika unafahamu kuwa ana upungufu wa akili?
Je, unaamini maneno ya mwehu hata kama ni mwehu maarufu?
kweli kitendo cha wewe kuwa shoga, ni kasoro kubwa, ni aibu, ndo maana John Fashanu alijiua baada ya jamii yake kujua.
sasa kukaa na kumsikiliza Elton, aah , ujinga, tunamsamehe.
maana kaisha chagua fungu lake.
 

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
830
Likes
56
Points
45

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
830 56 45
kweli kitendo cha wewe kuwa shoga, ni kasoro kubwa, ni aibu, ndo maana John Fashanu alijiua baada ya jamii yake kujua.
sasa kukaa na kumsikiliza Elton, aah , ujinga, tunamsamehe.
maana kaisha chagua fungu lake.
Labda ni ku sahihishe kidogo John Fashani ni kaka ya Justin Fashanu ambaye ndio aliye jiua, huyu JOhn Fashanu is alive and kickin.

Justine Fananu hakujiua kwa sababu ya kugunduliwa kuwa ni shoga ,kwani alisha jitokeza na kusema kuwa yeye ni Shoga hadharani ,kwake haikua ni kitu cha kujificha.

Kifo chake kilitokana na kujiua baada ya kupata kesi ya kufanya mapenzi na kijana wa kiume ambaye alikua na umri mdogo , alijiua kw akujingonga mwaka 1998
 

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
830
Likes
56
Points
45

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2009
830 56 45
sasa sir Elton John ni nabii? Mtume ? ama shoga , mwanamuziki tu .......kwenye Ukristo, tunamsamehe, ataadhibiwa na Muumba mbigu na dunia, wangekua wale wa dini ya shehe yahya , walai wangemtoa roho.
sie Mungu wetu ni makini, anajipigania, waache watukane.

Nakubali kabisa .Hapo ndio unaweza gundua namna ya ustaarabu wa dini hizi mbili, kwa sisi wakristo hata utukane vipi ni tuna kusamehe na kukuombea , sababu unakua hujui utendalo kwa uwezo wa shetani unafunikwa na usijue kweli na Yesu hapiganiwi kwani anajisimamia mwenywe kama Yesu ,kwani hakuna mkristu anaye weza amini kwamba ukimuua Elton John , basi Yesu atakupokea Mbinguni na kukufanya shujaa kwa kupigania dini kw amoyo wako wote ,ndio maana na sema hapo amani inakuwepo, ila kukemea tutamkemea sana huyu Elton , kua an apotosha.
 

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,557
Likes
2,364
Points
280

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,557 2,364 280
Best mnakoelekea sio kwenyewe. Elewa kuwa huyu shoga mwendawazimu anatafuta wateja ili kuongeza idadi so anajaribu kujustfy ujinga wake. Jamani ogopeni mijadala isiyokuwa na maana hapa janvini na msiilete kabisa hapa. Hilimjanvi ni la wenye akili so uendawazimu hatutki.
 

mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
8,557
Likes
2,125
Points
280

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
8,557 2,125 280
Huyo John aka bwabwa kalaaniwa kwa Kinyakyusa sanifu watu wa sampuli hiyo tunasema "Agunigwe"au"Alinikigune" na mtu mwenye Kigune ni kama mwendawazimu huwa hasikilizwi
 

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,378
Likes
130
Points
160

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,378 130 160
Huyo John aka bwabwa kalaaniwa kwa Kinyakyusa sanifu watu wa sampuli hiyo tunasema "Agunigwe"au"Alinikigune" na mtu mwenye Kigune ni kama mwendawazimu huwa hasikilizwi
tena kighune huwa hakina tiba ni mpaka utubu tena hadharani, na hayo maneno anayoyasema, siyo mageni masikioni mwa wapinga Kristo, hajaanza walianza
waliomsurubisha, hivyo hana jipya maana hayampunguzii Bwana Yesu uwezo,
wala sisi katika hatuna shida maana imeandikwa tuwasamehe wanaotuudhi
 

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
2,805
Likes
9
Points
0

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
2,805 9 0
Mmh i guess watu sasa wanaanza kuchanganyikwa na akili...or else Elton ana seek symhay kuwa ma-gay wake wanakubalika makanisani kwa kupakaza kuwa jesus was gay!....that is rudiculous he really need to repent this. that is evil spirit talking and not him.
 

BinMgen

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2008
Messages
1,828
Likes
33
Points
145

BinMgen

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2008
1,828 33 145
sasa sir Elton John ni nabii? Mtume ? ama shoga , mwanamuziki tu .......kwenye Ukristo, tunamsamehe, ataadhibiwa na Muumba mbigu na dunia, wangekua wale wa dini ya shehe yahya , walai wangemtoa roho.
sie Mungu wetu ni makini, anajipigania, waache watukane.
bora dini ya shekh Yahya kuliko dini ya padri shoga Elton John, padri Robinson. Watu wamejitangaza ni mashoga lakini leo wanaongoza ibada kwa jina la Bwana. Watu jama hawa ndio mana wanatolewa roho ili kuzuiya uovu wao usienee, alianza mmoja kujitangaza leo wako wa tatu! Sasa wanaanza kumtangaza BWANA nae pia alikua akitoa nnya!, ASTAGHFIRULLAAAH. dini ya shekh Yahya inamuongozo wa kiutendaji kwa kila jambo, jesus/Issa Bin Mariam ni Mtume wa wa MMungu mtu anaemtukana mtume hukumu yake duniani ni kukatwa kichwa hadharani, kwa kulinda heshima jesus/Issa bin Maryam, na kulikasa jina lake tutakata kichwa cha KAFIRI HUYU
 

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,667
Likes
660
Points
280

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,667 660 280
Huyu nae dhambi zake za ushoga zimemzidia ndo maana anakosa kujitambua ..ukiwa mtenda dhambi ni lazima utaitetea dhambi yako
hivyo basi Hata kama ana fedha lakini Maisha yanamchanganya si bure
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,204,439
Members 457,321
Posts 28,158,364