Poll: World's best-looking people are in United States


Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,854
Likes
46,338
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,854 46,338 280
By Rhonda Cook


The Atlanta Journal-Constitution


Globe-traveling Brits have spoken. The United States has more beautiful people than any other country.

Of course, concedes Briton-based OnePoll.com, the United States has more people than No.2, Brazil, No. 3 Spain or Nos. 4, 5 or 6.

"The likes of Jessica Alba, Jennifer Aniston and Brad Pitt all help America's image as a hot bed of good-looking people," according to the OnePoll.com news release. "But with a population of more than 300 million, they do have an unfair advantage."

Blond, tanned surfers put Australia in fourth place, followed by Italy in fifth and Sweden, with model Victoria Silvstedt, was sixth. The pasty English made it to the seventh spot.

"When you think of good-looking countries, Sweden, Italy, France and Brazil talent all spring to mind before us lazy, pale Brits," the news release said.
India, France and Canada rounded out the top 10.

"America has got a lot on offer and boasts some of the sexiest people on the planet," OnePoll.com said.

Top 20 best-looking nations:
1. United States
2. Brazil
3. Spain
4. Australia
5. Italy
6. Sweden
7. England
8. India
9. France
10. Canada
11. Mexico
12. Portugal
13. Wales
14. Russia
15. Japan
16. Ireland
17. Argentina
18. Netherlands
19. Scotland
20. Germany

My take: Yaani hakuna hata nchi moja ya Afrika kusini mwa Sahara iliyo crack ishirini bora yao? WTF? Nchi zote hizo ni za weupeweupe tu. Ndio maana wanawake wa Kiafrika wanajichubua
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
9,776
Likes
1,140
Points
280
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
9,776 1,140 280
hata ethiopia????

ukimuuliza mkwere naye ataje list yake, basi itakua tofauti... kumbuka kuna za wachina na other mongolese... Negro, etc

wacha wajihangaishe hao mie wakwangu wanaovutia ni ethiopia, bongo, brasil kwisha!!!
 
Katoma

Katoma

Senior Member
Joined
Mar 11, 2008
Messages
135
Likes
0
Points
0
Katoma

Katoma

Senior Member
Joined Mar 11, 2008
135 0 0
opinion ya "urembo" kwa muingereza na ile ya mmatumbwi ni tofauti sana.
 
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
2,581
Likes
52
Points
145
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2009
2,581 52 145
........Uongo mtupu huu, mie wala sikubaliani nao, kwanza nchi zote hapo ni watu wenye asili ya weupe, ina maana africa hakuna best looking people?
 
k_u_l_i

k_u_l_i

Senior Member
Joined
Jan 26, 2010
Messages
122
Likes
1
Points
0
k_u_l_i

k_u_l_i

Senior Member
Joined Jan 26, 2010
122 1 0
Hi list inabakia hivyo hivyo tukiita World's Worst-looking people

¬K
 
Injinia

Injinia

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
850
Likes
4
Points
0
Injinia

Injinia

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
850 4 0
What would you expect coming from the Brits? They are among the ugliest Caucasian people, I wonder how they even made it to number 7, was it?

Hebu waende huko.

Have you ever seen these people, especially their women, without make-up? Shock, horror!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,854
Likes
46,338
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,854 46,338 280
........Uongo mtupu huu, mie wala sikubaliani nao, kwanza nchi zote hapo ni watu wenye asili ya weupe, ina maana africa hakuna best looking people?
WaBrazil zaidi ya nusu wana asili ya Afrika.....
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,832
Likes
23,141
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,832 23,141 280
yaani england wazuri kuliko wa ethiopia?????
 
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
WaBrazil zaidi ya nusu wana asili ya Afrika.....
Just setting the record straight, Brazil is the second largest black populated country in the world after Nigeria.
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,957
Likes
335
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,957 335 180
Nadhani wangeipa Brazil nafasi ya kwanza..!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,499
Likes
117,429
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,499 117,429 280
Wanajifurahisha tu hawa, tangu lini Wazungu wakaujua uzuri wa mtu. Huwa nashangaa sana kila mwaka wanapotoa jina la mtu ambaye wenyewe humuita "Sexiest man alive in the World" na wanaochaguliwa kila mwaka hawastahili hata kidogo sifa hiyo.

Hata Angelina Jolie aliwahi kushika namba ya kuwa mwanamke mzuri. Halle Berry pamoja nakumkubali kwamba ni mzuri lakini nimeona wazuri Bongo Halle Berry anatupwa kwa mbali sana. Waacheni hawa wajifurahishe.
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,550
Likes
642
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,550 642 280
By Rhonda Cook


The Atlanta Journal-Constitution


Globe-traveling Brits have spoken. The United States has more beautiful people than any other country.

Of course, concedes Briton-based OnePoll.com, the United States has more people than No.2, Brazil, No. 3 Spain or Nos. 4, 5 or 6.

“The likes of Jessica Alba, Jennifer Aniston and Brad Pitt all help America’s image as a hot bed of good-looking people,” according to the OnePoll.com news release. “But with a population of more than 300 million, they do have an unfair advantage.”

Blond, tanned surfers put Australia in fourth place, followed by Italy in fifth and Sweden, with model Victoria Silvstedt, was sixth. The pasty English made it to the seventh spot.

“When you think of good-looking countries, Sweden, Italy, France and Brazil talent all spring to mind before us lazy, pale Brits,” the news release said.
India, France and Canada rounded out the top 10.

"America has got a lot on offer and boasts some of the sexiest people on the planet,” OnePoll.com said.

Top 20 best-looking nations:
1. United States
2. Brazil
3. Spain
4. Australia
5. Italy
6. Sweden
7. England
8. India
9. France
10. Canada
11. Mexico
12. Portugal
13. Wales
14. Russia
15. Japan
16. Ireland
17. Argentina
18. Netherlands
19. Scotland
20. Germany

My take: Yaani hakuna hata nchi moja ya Afrika kusini mwa Sahara iliyo crack ishirini bora yao? WTF? Nchi zote hizo ni za weupeweupe tu. Ndio maana wanawake wa Kiafrika wanajichubua
Mbona hamna Matoto ya Ki-czech? Ile mitoto ya Czech imejaza mtindi mzito na taarabu safi tu. Kwa sura wana vipua na kiurembo cha Kihindi. Huyu jamaa aliyeweka hii list akili zake hazina akili.
mzl.xvzrftuo.480x480-75.jpg


Mwisho inatakiwa anganzia na Venezuela. Hawa mabwana kila mwaka kwenye mashindano ya urembo huwa wanatesa sana na nafikiri wametoa Miss world wengi duniani au ma vice wengi.......
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Miss_Venezuela[/ame]
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,505
Likes
234
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,505 234 160
Tanzania should be among the top 10. Watoto wetu wazuri jamani, acheni!
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
29
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 29 0
Mbona hamna Matoto ya Ki-czech? Ile mitoto ya Czech imejaza mtindi mzito na taarabu safi tu. Kwa sura wana vipua na kiurembo cha Kihindi. Huyu jamaa aliyeweka hii list akili zake hazina akili.


Mwisho inatakiwa anganzia na Venezuela. Hawa mabwana kila mwaka kwenye mashindano ya urembo huwa wanatesa sana na nafikiri wametoa Miss world wengi duniani au ma vice wengi.......
http://en.wikipedia.org/wiki/Miss_Venezuela
yaani hata Venezuela haijatajwa, lol
 
T

thesonofafrica

Senior Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
110
Likes
25
Points
35
T

thesonofafrica

Senior Member
Joined Feb 9, 2010
110 25 35
ukiniuliza mimi ntakuambia kuwa ,when it comes to wanawake wazuri,hakuna nchi ninaifahamu so far yenye wanawake wazuri zaidi ya nchi za Central Europe especially Czech,Ukraine,na Russia.,but I think Czech is at the top.
Ni mtizamo tu.
 
kui

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,473
Likes
5,143
Points
280
kui

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,473 5,143 280
Beauty's in the eyes of the Beholder
 
Elusive

Elusive

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2008
Messages
223
Likes
1
Points
35
Elusive

Elusive

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2008
223 1 35
This poll was based on which criteria? All I know is Africa has more best looking people than any other continent on this earth.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,854
Likes
46,338
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,854 46,338 280
Tanzania should be among the top 10. Watoto wetu wazuri jamani, acheni!
Kama Nsia Swai....aaaagh ile totoz imeumbika bana...we acha tu
 

Forum statistics

Threads 1,237,227
Members 475,501
Posts 29,282,165