Katika mabadiliko mapya nataka kuwepo na uwezo wa kutuwezesha wachangiaji kupost clips za video hasa kuhusu masuala fulani fulani badala ya kueleza tu hii itafanya mjadala kuwa moto moto ndani ya...
Dear all, I hope you all had an enjoyable Easter break.
Mine was unbearably long. I am far from my biological family and on top of that due to the ongoing maintenance work on JF I had to be far...
HATMA ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), itajulikana wiki ijayo wakati Waziri wa Miundombinu, Dk Shukuru Kawambwa atakapotoa taarifa ya utendaji wa shirika hilo kwa Kamati ya Bunge ya...
Katika kuelekea katika sikukuu hii ya Pasaka nawatakiwa wadau wote wa JF Pasaka njema. Make kwa amani na upendo. Natumaini yalee mambo ya Feb 14 hayatakuwepo. Make huku mkitafakari kuhusu...
Kwa imani yako, likumbuke tukio hili na lizidi kukuongezea imani yako.
Ni tukio la ajabu sana ambalo Mwenyezi Mungu Muumba vyote(Yehova) alilifanya. Yaani kumtoa mwana wake wa pekee asulubiwe kwa...
From MARC NKWAME in Arusha, 31st March 2010 @ 11:54,
Daily News
POLICE in Manyara have arrested a South African national who had allegedly fed six Tanzanians to dogs about a decade ago.
The...
kama wewe ni muhusika wa walioathirka kwa kunynyaswa kijinsia basi
kuna timu ya wanasheria kabambe wamejitolea ofaa maalum mpaka
mwezi wa tano kuwasaidia bureeeeeeeeeeeeeee kwa maoni zaidi...
Wapendwa ktk bwana
habarini za saizi,najua ni vigumu kuamini lakini
hali hiyo nilioandika hapo juu imenisikitisha kuamua kuweka wazi mwenye msaada nini cha kufanya kupunguza huu uutapeli wa...
Wakati waziri wa miundo mbinu abatarajiwa kukutana na wanakamati wa bnunge kuelezea kuhusu atcl,ni wakati muafaka kwa dk Kawambwa kuwaleza watanzania zaidi ya million 35 ile ripoti ya tume...
sidhani kama kuna mutu mwenye kuping hili..masikini hulala muda mrefu thani matajiri.....source jiangalie mwenyewe,if uko Infact tajiri unajua how much unalala na kama uko masikini tena unajua...
wapendwa niktumia comp yangu inafika wakati inaonyesha hiyo kitu mtanisaidiajeInternet Explorer cannot display the webpage
What you can try:
Diagnose Connection Problems
More information...
Jamani mambo haya
kwa wanaoangalia tbc naona
tigo imeamua kupunguza bei ya bidhaa zake kutoka
sh moja kwa sekunde na kufikia 1/2 sekunde
hakika tigo inatisha tunawashukuru kwa hili msiwe
kama...
Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha. Hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
Huu ulikuwa ni mojawapo ya mchango wa Mpendazoe August 1, 2009 Bungeni (msisitizo wangu)
Maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu Uteklezaji wa Azimio la Uuzwaji wa Nyumba za...
Wapangaji nyumba Dar kwa kuhama hama.
Wakuu heshima kwa wingi kwenu. Jamani naomba mtazame mfano wa jamaa huyu kwa jina la mpangaji nyumba Dar es Salaam ambaye anawakilisha wengi wa wapangaji...