Vipi kuhusu taarifa za video ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi kuhusu taarifa za video ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutunga M, Apr 8, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Katika mabadiliko mapya nataka kuwepo na uwezo wa kutuwezesha wachangiaji kupost clips za video hasa kuhusu masuala fulani fulani badala ya kueleza tu hii itafanya mjadala kuwa moto moto ndani ya JF

  Hapa naongelea masuala ya siasa,tunaweza kubuni mbinu kwani hapo JF wapo mabingwa wa IT fanyeni ima kwani picha za video zinaleta uhalisia wa jambo mfano ebu fungua hapa uone wenzetu wa voice of africa wanavyofanya tena hapa bongo

  gonga hapa ujonee mwenyewe mambo
   
Loading...