Mh!! Maria Roza na wewe!Bado naitafuta labda ipo upande wa nyuma wa keybord 😀
kama ya kwangu..........genuine...hata ulaya hakuna kama hii!mie mbona nimeiona naona my computer ni new model
Kheeeeeeeeee............anhaaaaaaaaa ...........kumbe upande wa nyuma wa kiibodi............SIKUKUELEWA........ nilidhani unaitafuta kule kwingine..........Bado naitafuta labda ipo upande wa nyuma wa keybord 😀
We mjanjamie mbona nimeiona naona my computer ni new model