Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Kwa imani yako, likumbuke tukio hili na lizidi kukuongezea imani yako.
Ni tukio la ajabu sana ambalo Mwenyezi Mungu Muumba vyote(Yehova) alilifanya. Yaani kumtoa mwana wake wa pekee asulubiwe kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu.