Kwa nini matajiri hutumia muda mudogo kulala than masikini?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
455
sidhani kama kuna mutu mwenye kuping hili..masikini hulala muda mrefu thani matajiri.....source jiangalie mwenyewe,if uko Infact tajiri unajua how much unalala na kama uko masikini tena unajua muda gari unalala..pasaka njema atii..
 
You know you might have a point there. kama kuna statistics fulani ilisha wahi kutolewa ambayo inaonyesha kuwa watu kwenye nchi tajiri wana fanya kazi masaa mengi kuliko wale wa nchi maskini. Lakini swala hili ni broad sana na it is hard kuongelea bila generalization. On my part I agree, FOR THE MOST PART, rich people tend to be workaholics & that's why they are successful. Ila tusi sahau pia kuwa kuna factors nyingi inayo determine whether mtu ata tajirika or not. Keep this in mind though.

a)Kuna utajiri wa kurithi
b)Utajiri wa dhuluma
c)Utajiri wa bahati(kama bahati nasibu nk)
 
Masikini wanafanya kazi nyingi za nguvu sana hivyo wanachoka haraka na wanahitaji muda mwingi wa kupumzika.
 
MATAJIRI WENGI WA NJOMBE NA lRINGA WAMEPATA UTAJIRI WAO KIUCHAWI.
WANACHELEWA KULALA KWA KUWA USIKU NDIO MUDA AMBAO MAPEPO HUWA WANAWALETEA HELA NA WAO HUZISINDILIA KWENYE MAGUNIA HADI KARIBIA NA ASUBUHI.
PIA HULALA KWENYE NGOZI HATA KAMA WANA VITANDA VILIVYO NAKSHIWA KWA DHAHABU SAFI.
KWA KWELI UTAJIRI WA KICHAWI UNATESA SANA NA NI UTUMWA.
 
Hayo yamepitwa na wakati kijana.

Si wanatumia muda mrefu wa kufanya kazi (mfano biashara)? Ukiuza duka kwa masaa manne na mwenzako akauza kwa masaa manane au kumi, nani atapata faida nyingi kwa siku?

Huo uchawi unakuja baadae kazi kwanza.
 
Ndibalema hebu tupe mwongozo

Actually, psychologically, Masikini huwa wamekata tamaa na ndio maana wanashindwa ku'fight zaidi, huamua kutumia muda wao mwingi kulala.
Kwa upande wetu sisi matajiri huwa haturidhiki na tulipo.
Muda mwingi huwa tuna'fight ili tupige hatua zaidi ya hapa tulipo.
Ukizingatia na competition iliyopo between us matajiri.
Infact tusingependa hata huo usingizi uwepo.
 
Actually, psychologically, Masikini huwa wamekata tamaa na ndio maana wanashindwa ku'fight zaidi, huamua kutumia muda wao mwingi kulala.
Kwa upande wetu sisi matajiri huwa haturidhiki na tulipo.
Muda mwingi huwa tuna'fight ili tupige hatua zaidi ya hapa tulipo.
Ukizingatia na competition iliyopo between us matajiri.
Infact tusingependa hata huo usingizi uwepo.

Waitu, nakufagilia!! kwa msimamo dhabiti wa kitajiri!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom