Ofa kabambe ya Pasaka;uliwah kunyanyaswa kijinsia,??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofa kabambe ya Pasaka;uliwah kunyanyaswa kijinsia,???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 31, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  kama wewe ni muhusika wa walioathirka kwa kunynyaswa kijinsia basi
  kuna timu ya wanasheria kabambe wamejitolea ofaa maalum mpaka
  mwezi wa tano kuwasaidia bureeeeeeeeeeeeeee kwa maoni zaidi

  wasiliana na DINA WA clouds FM ama piga

  0787/8 29 55 51

  wapendwa tangazo hili limerudiwa sana leo cloud kipindi cha dima marious nikaona yawezekana ni mmoja wa wanaoteseka na wale mijiaanaume MAFIOSO...panda angani namba hizo,..pole sana na kila la kheri!!!
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nasikia mwanaume hata kama ulilazimishwa ngono huwezi kusema umebakwa...
  Mi nilibakwa nikiwa na miaka 12 na mama jirani yetu,
  hadi leo nina majeraha akilini.
  Inanijia picha jinsi yule mama alivyonilazimisha nimnyonye mpwechelo wake, tena akaniambia nimnyonye hadi topeni...
  Kila siku akawa anifuata shuleni na kunipa shilingi hamsini ya noti nyekundu,
  sikuwa na mtu wa kumuambia, lakini kwa sababu ya utoto nikawa navumilia huku naumia moyoni.
  Nadhani nahitaji zaidi msaada wa mwanasaikolojia kuliko wa mwanasheria kwa kuwa sijui hata kwa kumpata tena huyo mama, maana mambo haya yalitokea miaka mingi nyuma.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Mmmh pole sana Kiranja Mkuu nadhani ni vyema usahau hilo tukio
  Utaendelea kuathirika zaidi kisaikolojia kama utaendelea kulifikiria
  HUyu mama nadhania na yeye alikuwa na tatizo
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Du pole sana Kiranja Mkuu kwa yaliyokukuta, ni kweli inabidi uwapate wanasaikolojia kuliko wanasheria ili kuweza kuondoa tatizo la kiakili ulilopata kutokana na unyama aliokufanyia huyo mama!
   
 5. p

  paison Member

  #5
  Mar 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu,naamini Mungu kakupigania ndio maana upo hapa.zaidi sahau endelea mbele na utakuwa mwl mzuri kwa vijana wasirubuniwe.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Na wewe kajeruhi vijana
  si wazee wamekujeruhi??
  Weight and balance muhimu!!!
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  wengi wavulana wameathirika kwa kubakwa, kunajisiwa, au kulazmishwa kufanya mapenzi na wanawake waliowazidi umri. Ila dunia hii siku zote mwanaume ndio ana makosa!
   
 8. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,398
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Pole wewe kwa kufanywa mjinga na Dina Marios!!
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Wengi sana wana matatizo haya lakini hawawezi kwenda, husiulize kwanini?
   
Loading...